Kumbe Tanzania hatuna B52?

Kumbe Tanzania hatuna B52?

Boeing B-52 Stratofotress bombers zilizoko zinamilikiwa na United States Airforce pekee, hata NATO hawana, sembuse TZ, au unaota mchana???!!!

Waambie hao! Kuna mchangiaji mmoja kasema zimepitwa na wakati sana, wakati hata Saddam walizitumia hizo hizo na hakuziona kwenye radar
 
B52 bomber


The B-52 Stratofortress is a long-range, strategic heavy bomber capable of dropping or launching the widest array of weapons in the U.S. inventory. The latest version, the B-52H, can carry up to 20 air-launched cruise missiles.Used for strategic attack, air interdiction, offensive counter-air and maritime operations, its capabilities include:

  • Carrying nuclear or precision-guided conventional ordnance, including gravity bombs, cluster bombs, precision guided missiles and joint direct attack munitions
  • Delivering approximately 70,000 pounds of mixed payload, both internally and on external pylons
  • Combat range exceeding 8,800 miles (7,652 nautical miles) unrefueled -- can be refueled aerially
  • High subsonic speeds up to 650 miles per hour, or Mach 0.86
  • Flying at altitudes up to 50,000 feet (15,166.6 meters)
  • Low-altitude flight capability, augmented by its electro-optical viewing system
The B-52 entered military service in 1954. Ongoing updates have included new avionics, data-link communications, electronic defense and offensive systems, and more powerful, fuel-efficient turbofan engines. Used in Operation Iraqi Freedom, the B-52 has been the longest-serving bomber U.S. military history.

b52H_0005_375X300.jpg

Source: Boeing: B-52 Stratofortress
 
Waambie hao! Kuna mchangiaji mmoja kasema zimepitwa na wakati sana, wakati hata Saddam walizitumia hizo hizo na hakuziona kwenye radar

Huyo anaesema b52 imepitwa na wakati atakua nyuma ya teknolojia ya habari. Miezi michache iliyopita marekani alirusha b52 mbili kwenye visiwa vinavyogombaniwa kati ya china na japan,bila kuitaarifu china na bila ruhusa kutoka china kama china ilivyokua imeagiza,na wachina wakaufyata kusikia ni b52.hiyo kitu haifai.
 
mbona yupo jf au sasa hivi yupo nje ya nchi.. eriiiiiiiiiiickb52
 
On 15 April 2012, the U.S. Air Force celebrated the 60th anniversary of the venerable B-52's first flight. The historic occasion was celebrated at Barksdale Air Force Base at its annual air show. Barksdale is home to Air Force Global Strike Command and the 8th Air Force, which is celebrating its 70th anniversary in 2012. It's one of two bomber commands in the United States where the B-52 operates. The other is in Minot, North Dakota. There were 744 B-52s built. The last one rolled off the line in 1962 and the Air Force and Boeing continue to maintain and modernize the remaining 58 B-52s in the active Air Force fleet and the 18 aircraft in the Air Force Reserve.The B-52 facts:
  • Has a crew of five
  • Combat radius is 4,480 miles
  • Can fly 650 mph
  • Wingspan is 185 feet
  • Maximum takeoff weight is 488,000 pounds
  • Can carry 70,000 pounds of bombs

628x471.jpg

Boeing's B-52 Stratofortress bomber prototype for the U.S. Air Force takes off on its first flight, on April 15, 1952 at Boeing Field in Seattle.
Source: B-52 makes first flight -- 60 years ago (Video)
 
Tanzania hatuwezi kuinunua hii ndege (Boeing B-52 Stratofortress) kwani bei yake ni kubwa mno, kila moja yauzwa US $ 54 millioni (Tshs Billioni 88), na inahitaji matunzo ya US $ 10,406 (Tshs 17 millioni) kwa kila saa ikiwa angani, licha ya kusema gharama za silaha itakayokuwa imebeba!! Kwa maneno mengine, bei ya ndege moja ni sawa na posho za kikao cha siku 460 kwa wabunge wote 640 wa bunge la katiba; na matunzo ya saa 12 angani ni sawa na posho za kikao cha siku moja kwa wabunge wote 640 wa bunge la katiba. Wewe nchi yako bado inarusha Mig 17 wakati production series ni Mig 29 halafu waota kununua B 52!!

View attachment 154412

Pia yatupasa kujua sio kila teknolojia ya kivita inauzwa otherwise ungekuta ata nchi nyingi za kiharabu zina b 52 kwani wanao uwezo wa kumudu gharama.b 52 ni ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba mabomu mazito lakini spidi yake ni ndogo hvyo kwa nchi kama tanzania kutaka b52 tutashindwa maintanance cost licha ya ugumu wa usa kuuza.pili b52 ni ndege iliyofanya kazi mda mrefu ingawa wamekuwa wakii upgrade mara kadha lakini haijafikia teknolojia ya b2 ambayo nayo ni bomber pamoja na fighter jets kama f 22 raptor,f 35 joint strike na f 117 ambazo sio rahisi kuziona kwenye rada ( stealth technology) na ndio maana ata marekani huzitanguliza ndege hizo kuharibu mifumo ya rada kabla b52 haijaja kumalizia.hapo pia hatujataja mirage za ufaransa,su 55 za urusi na series of MIG ni ndege nzuri pia.Asanteni.
 
wakuu tunajadili masilaha makubwa hivi! kwani tumekuwa wababe wa vita? duh inatisha, bado sana wagomvi wetu wenyewe wachovu au mnataka kuongeza uchumi wa mataifa ya watu? ni mtazamo tu.
 
Ni kosa
kulinganisha kitu kimoja na kitu kingine usichokijua. Hatuwezi kusema
malawi walipata ujumbe wakati hatujui wamalawi wana vifaa gani vya
kiulizi,,yawezekana wako vizuri kuliko sisi.

yule mother alitusumbua sana na sukhoi zake. Tulikosa amani. Na pk alisumbua sana na Apache last year.
 
[h=1]Mikoyan MiG-29[/h]
mig29_012.jpg
d468d73ebe664ef2bb3a637fcf915854.jpg
mig-29_580484.jpg

Those and Mig -31 are the ones that Sadam transfered to Iran bfr The Gulf War.

Tanzania if it was not for fisadi and those bad minong contracts we could manage to buy the best arsenal and maintain a small effective army. The guy who says that Tanzania owns a B-12 he should not come out of his house sababu aibu he seems too ignorant.
 
Back
Top Bottom