Kumbe Tanzania hatuna B52?

Kumbe Tanzania hatuna B52?

hiki naona kama mbele kina kutu hivi
30.jpg
 
Jana wamalawi na wanyarwanda walicheka sana sana.yaani nyimbo zote za taarab wanazoimba viongozi,kujisifu yaani hapo ndio mwisho wa reli?.Ila walikubali pale makomandoo walipopasua tofali kwa kichwa
 
katika ndege zote hatuna B52?

Ivi mabilioni yaliyopo Uswisi hayatoshi kununua B52?

EPA, RADA, Rindmond, Meremeta?????

ya nini?? na kwanini umetaja B52 na sio F16??do we NEED IT???
 
B-52 ndege ya kizamani sana, hamna haja ya kuwa nayo. Kwa kwetu tukipata F - 117, japo teknolojia ya miaka karibu 20 itatufaa kuingia kwa Kagame mchana kweupe na kuondoka bila shida.

You dont have air field for boeing 777 let alone B-52, you cannot afford to build your children schools yet you want.to.have B-52? Teh teh teh.

Dou you know the value.of B-52?
 
Mjitu mingine..kwa hiyo ulitaka wakombe kila kitu huko vinako kaa ili waje wavioneshe pale? Mbona hujauliza kwamba hujaona mabomu kama yale yaliyo lipuka gongo la mboto au mbagala?
 
hii ni Nighthawk,F-117 single seat ,twin engine ground attack aircraet,cost up to 100 million usd.the first stealth aircraft.
300px-F-117_Nighthawk_Front.jpg

I have flown this plane in the early 90's in operations from Saudia to Iraq and Iran and Eastern Europe I reached the rank of Brg.General although I had experienced two ejections from crashes (PC Simulator) teh teh teh.

B-52 is a heavy aircraft but very effective bomber. It can only land in three airfields outside USA that is Diego Garcia and Thumrait in Oman and the Negev Desert in israel. Tanzania has very old Migs. And some british and chinese training planes.
Tanzania if it was not due to corruption could have bought the best arsenal and build a small but strong effective state of the art defence force.
 
tunahitaji ndege itakayobeba makombora sita yasiyozidi uzani wa tani ikapiga kombora moja kigali na kurudi na matano salama ikiwa imekamilisha shughuli, hatuhitaji ndege ya kubeba tani mia ya mabonu kwenda kuwalipua ndugu zetu wa kigali.
Vita inakuwa ya gharama ndogo kwa kutumia vifaa vya gharama kubwa.

Kama lengo la Marekani halingekuwa la kiuchumi vita ya Iraq ingeisha wiki moja kwa dozeni mbili za F 117 zilizokuwa huko. Zilirushwa chache siku ya kwanza na mfumo mzima wa amri na mawasiliano ulikufa.

mkuu angalia unachokiandika
 
I have flown this plane in the early 90's in operations from Saudia to Iraq and Iran and Eastern Europe I reached the rank of Brg.General although I had experienced two ejections from crashes (PC Simulator) teh teh teh.

B-52 is a heavy aircraft but very effective bomber. It can only land in three airfields outside USA that is Diego Garcia and Thumrait in Oman and the Negev Desert in israel. Tanzania has very old Migs. And some british and chinese training planes.
Tanzania if it was not due to corruption could have bought the best arsenal and build a small but strong effective state of the art defence force.

Asante Brg. General Punjab
 
Back
Top Bottom