RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,801
- 129,644
Leo asubuhi nimemsikia dada mmoja kutoka Rita akizungumzia talaka ni kwamba talaka zinaenda zikiongezeka akatoa takwimu mwaka 2016 kulikuwa na talaka 110 zilizosajiliwa na RITA mwaka 2017 kulikuwa na talaka 120 na kitu (namba kamili imenitoka) kwa hio unaweza kuona talaka zinaongezeka.
Kilichonishangaza ni idadi ndogo ila alisema inawezekana zipo nyingi ambazo hazijasajiliwa na RITA kwahio waoaji msikate tamaa talaka sio nyingi kihivyo kwa takwimu za RITA takwimu nyingine ambayo ningependa kuijua ni ndoa ngapi zinafungwa kwa mwaka.