Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
Vibuti sio talaka
Lazima utakua uliachika aiseeeeMi naona bora watu wasioane. ... kila mtu aishi kwakwe na maisha yake ila mkipendana mnafika out mnapeana penzi basi. Mkitaka kuzaa mnaakubaliana kabisaa gharama za malezi kwa kuandikoshiana.
Naona ni ujinga kuvumiliana maana hata mie sitaki mtu anivumilie. Naona haina tija kugombana wakati mmechokana. .... Kila mtu akiwa na kwake basi hakuna kugombana ni kuwa kila mtu anaendelea na maisha yake. Maendeleo pia kila mtu afanye kivyake sema mnaweza kishauriana. Ukiona mtu anakulostisha unamwambia am sorry I think we should end this relationship.
Life is too short to hold on grieves....
Sababu hujabahatika kuolewa ndio maana unasema hivyo! Si ajabu hata mtoto huna ukiangalia umri ushafika 50+Mi naona bora watu wasioane. ... kila mtu aishi kwakwe na maisha yake ila mkipendana mnafika out mnapeana penzi basi. Mkitaka kuzaa mnaakubaliana kabisaa gharama za malezi kwa kuandikoshiana.
Naona ni ujinga kuvumiliana maana hata mie sitaki mtu anivumilie. Naona haina tija kugombana wakati mmechokana. .... Kila mtu akiwa na kwake basi hakuna kugombana ni kuwa kila mtu anaendelea na maisha yake. Maendeleo pia kila mtu afanye kivyake sema mnaweza kishauriana. Ukiona mtu anakulostisha unamwambia am sorry I think we should end this relationship.
Life is too short to hold on grieves....
Ndoa nyingi zinavunjika na hawadai talaka mahakamani kuepuka usumbufu. Ukiona mwanamke anadai talaka ujue amepata wa kumwoa. Wanaume mara chache kudai talaka mahakamani.Leo asubuhi nimemsikia dada mmoja kutoka Rita akizungumzia talaka ni kwamba talaka zinaenda zikiongezeka akatoa takwimu mwaka 2016 kulikuwa na talaka 110 zilizosajiliwa na RITA mwaka 2017 kulikuwa na talaka 120 na kitu (namba kamili imenitoka) kwa hio unaweza kuona talaka zinaongezeka.
Kilichonishangaza ni idadi ndogo ila alisema inawezekana zipo nyingi ambazo hazijasajiliwa na RITA kwahio waoaji msikate tamaa talaka sio nyingi kihivyo kwa takwimu za RITA takwimu nyingine ambayo ningependa kuijua ni ndoa ngapi zinafungwa kwa mwaka.
Zinachelewa kuhukumiwa..Nimekaa mahakamani,Kwa muda mfupi (5 weeks)nimeshuhudia kesi za Talaka 16,hazisajiliwi tu basi!
SijaelewaSie wakristo talaka yako ni kaburi;
Well said dear.Mi naona bora watu wasioane. ... kila mtu aishi kwakwe na maisha yake ila mkipendana mnafika out mnapeana penzi basi. Mkitaka kuzaa mnaakubaliana kabisaa gharama za malezi kwa kuandikoshiana.
Naona ni ujinga kuvumiliana maana hata mie sitaki mtu anivumilie. Naona haina tija kugombana wakati mmechokana. .... Kila mtu akiwa na kwake basi hakuna kugombana ni kuwa kila mtu anaendelea na maisha yake. Maendeleo pia kila mtu afanye kivyake sema mnaweza kishauriana. Ukiona mtu anakulostisha unamwambia am sorry I think we should end this relationship.
Life is too short to hold on grieves....
Hapa umejiangalia wewe, vipi watoto je hawana haki ya kuishi na baba na mama kama wewe ulivyolelewa(i guess) ?
Lazima utakua uliachika aiseeee
Sababu hujabahatika kuolewa ndio maana unasema hivyo! Si ajabu hata mtoto huna ukiangalia umri ushafika 50+
Wengine wanaishi pamoja lkn washapeana talaka kitambo sos kanisani..Source ya takwimu zako?
Mtaani. ComSource ya takwimu zako?
Yaani wewe kama upo kichwani mwangu. Kusumbuana naonaga shida SanaMi naona bora watu wasioane. ... kila mtu aishi kwakwe na maisha yake ila mkipendana mnafika out mnapeana penzi basi. Mkitaka kuzaa mnaakubaliana kabisaa gharama za malezi kwa kuandikoshiana.
Naona ni ujinga kuvumiliana maana hata mie sitaki mtu anivumilie. Naona haina tija kugombana wakati mmechokana. .... Kila mtu akiwa na kwake basi hakuna kugombana ni kuwa kila mtu anaendelea na maisha yake. Maendeleo pia kila mtu afanye kivyake sema mnaweza kishauriana. Ukiona mtu anakulostisha unamwambia am sorry I think we should end this relationship.
Life is too short to hold on grieves....

Una hoja, ila hoja yako imefunikwa na ubinafsi. Hao watoto unadhani wanafurahia kuishi na mzazi mmoja?Mi naona bora watu wasioane. ... kila mtu aishi kwakwe na maisha yake ila mkipendana mnafika out mnapeana penzi basi. Mkitaka kuzaa mnaakubaliana kabisaa gharama za malezi kwa kuandikoshiana.
Naona ni ujinga kuvumiliana maana hata mie sitaki mtu anivumilie. Naona haina tija kugombana wakati mmechokana. .... Kila mtu akiwa na kwake basi hakuna kugombana ni kuwa kila mtu anaendelea na maisha yake. Maendeleo pia kila mtu afanye kivyake sema mnaweza kishauriana. Ukiona mtu anakulostisha unamwambia am sorry I think we should end this relationship.
Life is too short to hold on grieves....
Una hoja, ila hoja yako imefunikwa na ubinafsi. Hao watoto unadhani wanafurahia kuishi na mzazi mmoja?
Uzee huo kwa kutafunana tu raha sana, without strings attached. Ila ukishaleta watoto unatakiwa usijifikirie, wafikirie wao na furaha yao kwanza.Ni.kweli ubinafsi umenigubika na ndo nazeeka nao. Kwenye watoto mie naona wanaotaka kuzaa wakubaliane hakuna kutengana hadi watoto wakue. Vinginevyo mnakuwa na mahusiano bila kuzaa, hapo kwenye watoto ndo kuvumiliana ambapo mie na uzee huu naukosa.
Uzee huo kwa kutafunana tu raha sana, without strings attached. Ila ukishaleta watoto unatakiwa usijifikirie, wafikirie wao na furaha yao kwanza.
Kwa wale wasiotaka kuzaa, furahieni mahusiano bila ndoa, ila ukishaleta mtoto ni heri kufanya sacrifice kwa ajili yake.