Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

Mji umepangika kweli kweli
images.jpeg
 
Yaani ulitaka utumie muda gani kupamaliza ndio upaone pakijanja aisee jamaaa
 
Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.
Wewe inaonekana ulivyotoka Kigoma vijijini break yako ya kwanza na mwisho ilikuwa Dar, tena Tandale kwa uandishi wako huu umejipambanua hivyo.
 
Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.
Magari gani ya mwaka 90 bado yanatumika mikoa mingine au niambie ni gari gani iko dar mikoa mingine hazipo?
 
Nimekuwepo siku mbili, nimepamaliza pote kupafahamu kwa kutumia baiskeli tu!

Ila barabara kutokea tunduma ya ukweli balaa(international)
Ukiondoa DSM labda na Mwanza ni mkoa gani mwingine ambao ww unaufahamu kuwa unawezaumaliza kwa siku2? Usidanganye watu inamàana ulifika Kalambo,Laela,Namanyere kwa baiskeli?au unamaanisha Swax mjini?hii ni mkoa ya pembezoni ilikuwa imesahaulika now ndio inaanza kujengeka kijana usipotoshe watu bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anazingua tu huyo, kapita sumbawnaga mara moja tu kaja kuanzisha uzi humu, wengine sumbawanga tumepita zaidi ya mara 50 na tumekaa pia, ni mji mzuri tu. Shida ilikuwepo miaka ile tokea Tunduma ni barabara ya vumbi
Mie bado namlia timing. Aendelee na dharau zake. Uchawi wa radi bado tunautumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwepo siku mbili, nimepamaliza pote kupafahamu kwa kutumia baiskeli tu!

Ila barabara kutokea tunduma ya ukweli balaa(international)
Kwenu wapi? Tuanzie hapo!

Ulitaka utumie siku ngapi kuzungumzia?
 
Nawapongeza Watumishi wa Ardhi waliofanya kazi Sumbawanga kati ya mwaka 1980 mpaka 2006 kwa kuupanga Mji walipima viwanja maeneo mbalimbali ya Mji kama vile Kristo Mfalme, Kisiwani, Malangali, Hali ya Hewa , Makutano Kizwite, Regional block Jangwani Bangwe na Majengo na Katandala Hongereni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini waliofuatia baada ya happy wamekuja na upuuzi wao wa mikoa mingine yaani saizi ujenzi wa ki squatter umeshika kasi hakuna viwanja vlivyopimwa
 
Sidhani kama kuna mji uliopangika kama sumbawanga ktk nchi hii
Niliishi regional block 1979- 1984. Katandala ilikuwa nyumba za nyasi tu. Sasa hivi naona majengo yamesimama. Naipenda sana weather yake. Jangwani Inn bado ipo? Enzi za mwalimu hizo mji ulikuwa mdogo sana. All in all watani zangu wafipa Posuta! Mwalima? Mmeacha kuweka mapipa mtupu nje ya nyumba kuashiria sute ikapatikana hapo? hahaha Migagi bado mnakula? Bisi je? Chikanda?
 
Kweli wewe umeishi ufipani,
Tutenzi wikolo
 
Back
Top Bottom