Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.
Mbona huongelei Sumbawanga kama kichwa cha uzi kilivyotuvutia tuje kujua ya huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom