Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

Mimi nilipakubali sana sumbawanga.mji umepangika bara bara za mji nzuri na kubwa.pako poa sana tofauti na nilivokiwa nasikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uliambiwa Sumbawanga ni jiji? Hakuna mji uliopangiliwa vizuri kama Sumbawanga, ni mji ambao mipango miji ilifanya kazi yake barabara huwezi kukuta sehemu kama Manzese.
 
TANZANIA hii hakuna sehemu ya kijanja wala yakifala kote kunafanana tu..
Ni mjinga peke yake anayedhani kuwa Dar ndio kila kitu maeneo kama msasani bonde la mpunga,mwananyamala kisiwani,kinondoni shamba,tandale kwa tumbo,vingunguti spencon,jangwani n.k huwezi kuyaona mikoani
Afrika yote ni pachafu tu, hakuna sehemu nzuri kama mbinguni baasi.....kwingine ni sawa tu
 
.....Mji wenye fulsa za kumwaga,....ukiwa mtafutaji na mjanja wa kutumia fulsa nenda S'wanga....
 
Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.

Lkn ni dar pia watu wake wanakula utumbo wa kuku/miguu ya kuku sababu ya umaskini,huku mikoani hivyo vitu vinatupwa jalalani.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.
Hivi unaweza kwenda show room Ukakuta gari ya mwaka 1990 ? Hebu tupe mfano wa hizo gari mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.
Kweli Nyani ni nyani tu... Kwamba mabeberu wanasemaje ukaona na wewe usemejeee
ghost1_wa_insta-20181126-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawapongeza Watumishi wa Ardhi waliofanya kazi Sumbawanga kati ya mwaka 1980 mpaka 2006 kwa kuupanga Mji walipima viwanja maeneo mbalimbali ya Mji kama vile Kristo Mfalme, Kisiwani, Malangali, Hali ya Hewa , Makutano Kizwite, Regional block Jangwani Bangwe na Majengo na Katandala Hongereni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kushangaza office kuu zilikuwa Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.
Dar inawenyewe hiyo... Usione vyaelea
 
Sasa kuliko uishi Dar sehemu za hovyo hovyo kama manzese , buguruni, tandale, tandika. Temeke , gongo la mboto, mwananyamala na mbagara si ni bora uishi sumbawanga tu.
 
Back
Top Bottom