Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

Kumbe Sumbawanga pakishamba sana!

Nimekuwepo siku mbili, nimepamaliza pote kupafahamu kwa kutumia baiskeli tu!

Ila barabara kutokea tunduma ya ukweli balaa(international)
Huna looolote ulitaka ukute Akina dada Wauza Mbunye ndio upaone pa kijanja. Fwala kabisa wewe Kibenten. Uishie hapohapo kabla mizimu haijakusukumiza huko Bonde la Lwiche.
 
Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.
Mbona mzungu n mtu wa kawaida tu
 
Mji umepangika hatari...
IMG_20190204_230434_873.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mshamba kama walivyo washamba wengine
 
Mkombe mwalalauli

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapongeza Watumishi wa Ardhi waliofanya kazi Sumbawanga kati ya mwaka 1980 mpaka 2006 kwa kuupanga Mji walipima viwanja maeneo mbalimbali ya Mji kama vile Kristo Mfalme, Kisiwani, Malangali, Hali ya Hewa , Makutano Kizwite, Regional block Jangwani Bangwe na Majengo na Katandala Hongereni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
V
Sijawahi kujuta kukaa na kupita Sumbawanga, Ni mji tulivu na mahitaji yote muhimu unapata? ila kuna msimu wa baridi kiasi
ipi mkuu wazee wa kupaa na ungo hawakusumbui uko. Mna nilifikiria kuja kuinvest huko jamaaa wakasema nitarudi bila miguu nikaamua kuacha
 
Nimekuwepo siku mbili, nimepamaliza pote kupafahamu kwa kutumia baiskeli tu!

Ila barabara kutokea tunduma ya ukweli balaa(international)
Nilikula NDITO ya kikurya hapo! Ilikuwa tamu balaaaa! Nilishangaa kukuta mpaka Dada poa wa kikurya wamesha fika huko.

kutoka: 22D Arnold st.
 
In late 2000's nilipata kuishi Sumbawanga. Napafahamu kwa kiasi chake. Sijaelewa mtoa mada anapopa-term SBA kuwa ni " pa kishamba", amepafananisha na mahali gani au ametumia vigezo gani.
Binafsi kwa kipindi nilichoishi kule, nilipaona ni mahali pazuri ambako Mji umepangiliwa vizuri, hali ya hewa nzuri, upatikanaji wa vyakula "natural" ni rahisi na wa bei nafuu sana. Halikadhalika maisha ya kule si magumu kulinganisha na Miji mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miji yote ya Tanzania inafanana isipokuwa Dar Es Salaam pekee. Kuna wazungu walisema, Dar is the richest city in Tz, na kweli nimeamini. Hata hizi piki piki za Boxer zipo huku Dar, Mikoani bado wanatumia mchina. Majumba mazuri yamerundikana Dar. Typical modern houses za mikoani ni ndogo ndogo sana. Dar kuna mansions hatare. Magari ya mikoani ni yale tulikuwaga tunaendesha Dar miaka ya tisini. Dar ni ya kipekee sana ukilinganisha na mikoa mingine iliyobaki.
Mkuu nimegundua hujawahi kutembea mikoani...umekaa sana dar, au ulitembelea mikoani zamani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom