hata Billy Ocean ni mtz jina lake ni Bilali Husein kutoka Tanga majani mapana
na Alpha Blondy ni mtz pia jina lake ni Khalfani Mbonde kutoka kisarawe
umeona enh?kuna siku nakuwaga mjerumani siku nyingne mfaransa,mara mchaga mradi tu balaa!mwaya mi mngoni hizi lugha zingine hizi ni kujimix tu na marafiki ndo nazijulia humo humo !Umeshajichanganya
leo mnyaki
juzi mngoni
kuna siku utajikuta umejibu kwenye kabila lako la kweli
ukiona mumeandamwa lol