jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
Wazungu hao wanataka kuinvest kwenye idara ya afya,JK alivyowaahidi kuwa ata more than double the rate of graduates from health training institutions,wao wanajua kuwa watafanya business.Sasa kama ni kugombania wanamgombani Rais ama wanagombea interests zao?Ni kweli miradi kama hiyo ikitumika vyema itawanufaisha wananchi,however hiyo haiko kwenye DNA ya viongozi wetu wa sasa,tutaliwa tu.