za nini?nilikuwa sijapata taarifa
kuwa? kwani sote tupo ila swali ni wapi na taarifa tumezipata ila swali ni zipi. swali kwako, je bado upo?nilikuwa sijapata taarifa
mbona atukuoni,huko chumba gani?
unajua ukimwambia mtu toka nje maanayake anatakiwa atoke nje aingie ndani, ukumwamwambia toka ndani maanayake anatakiwa aingie nje. kwa hiyo sina fahamu nilikuwa wapi. lakini nilikuwa sijielewena atueleze kama kafungiwa nje au ndani...tuta bana