Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Hili ji nchi ni likubwa sana kiasi ambacho naona limewashinda watawala na ukichanganya na kasi yakasi ya kukua kwa population ndo balaa linazidi..
Ningekuamini kama ingekua tu ni Wanaijeria ndio munawasema vibaya lakini sivyo, hata sisi Wakenya mwatusema vibaya eti sisi wezi, walafi, maskini n.k, kule Afrika Kusini pia mwawasema vibaya. That's a sign of inferiority complex considering you always pick on the most progressed nations in their immediate region.Nadhani hujaishi na wanaigeria kwa muda wa kutosha kuwafahamu, wala sikushangai kwa hilo. Waulize wakenya wenzako ambao wanaishi/wameishi na wanaigeria, hata wao wanalalamika.
That is what you think, wewe ume-generalize, mimi huku nilipo naishi na wakenya wengi tu na wako poa tu,na ndio marafiki zetu wakubwa. I don't understand what you mean, na hao wa afrika ya kusini i know nothing about them, actually I don't understand what you mean.Ningekuamini kama ingekua tu ni Wanaijeria ndio munawasema vibaya lakini sivyo, hata sisi Wakenya mwatusema vibaya eti sisi wezi, walafi, maskini n.k, kule Afrika Kusini pia mwawasema vibaya. That's a sign of inferiority complex considering you always pick on the most progressed nations in their immediate region.
HAYA NDIYO MADHARA YA KUMFUKUZA MKoLONI MAPEMA! mwafrica kashindwa kabisaaa kujenga miundo mbinu ingawa kasoma!Awa nao wana gesi na wese kama wana Lindi na Mtwara.ila ufisadi wa wanasaiasa unawafanya wanaijeria kuishi kwa dhiki kiasi kuwa inafikaga nchi kuishiwa mafuta japo wanachimba hayo mafuta.Wanasiasa wao wana magari mpaka ya dola milion moja.
Nawaongelea members kadhaa wa hii forum, hata mimi ninapoisha kuna Watanzania na sio wote wako hivo.That is what you think, wewe ume-generalize, mimi huku nilipo naishi na wakenya wengi tu na wako poa tu,na ndio marafiki zetu wakubwa. I don't understand what you mean, na hao wa afrika ya kusini i know nothing about them, actually I don't understand what you mean.
Hapo kwenye red: hayo ni wawazo yako na mtazamo wako, I don't think that way.
Ndio hapo wakati mwingine nafikiria mara mbilimbili ile dhana ya kuwamba weusi tumelaaniwa inanitia mashaka...may be ni kweli. Africa yote imejaliwa kila aina ya utajiri lakini ni umaskini, rushwa, vurugu na balaa tupu. Ee Mola tusaidie
Unaambiwa 1/3 of world commodity is from Africa, sasa jiulize kivipi afrika tuko masikini kihivyo? Bad governance popote hapa africa ndiyo inayotuharibia maisha. Viongozi wetu wote ni wezi. Rais wa zamani Misri (Mubarak) alikuwa na utajiri wa karibia billioni za dola sasa jiulize as a president ni mshahara gani alikuwa analipwa mpaka na kuwa na mabilioni ya dola? Mobotu naye ni hivyo hivyo, jamaa alikuwa na mabilioni ya dola mpaka akawa anatisha huku wananchi wake hawana kitu. Kwake Congo (DRC) hakuna njia ya kuunganisha mikoa ya mashariki kwenda Kinshasa ila yeye alikuwa analimbikiza minoti ya utajiri wa nchi yake na ya misaada huku akijinufaisha yeye na familia yake. Hapa kwetu naye rais wetu wa sasa naona anafuata nyayo hizi za wenzake. Yaani imekuwa kama vile laana za marais na viongozi serikalini kulilia madaraka na ndiyo maana wanarogana kwani kila mmoja anataka kula yeye na kusahau wananchi wake. Hapa kwetu mtu akichaguliwa kuwa waziri basi atafanya pati ya kufa mtu (ya mamilioni) kwani anajuwa hizo milioni alizotumia baada ya mwezi zitazaa mabilioni. Hii nchi yetu inahitaji mapinduzi ya kiakili na uzalendo la sivyo tutakuwa kama wakongo, mali kibao kila kona ila tu masikini wa kutupwa huku viongozi wakitucheka tu kila kukicha kwa kutusanifu. Inasikitisha sana.
View attachment 83340View attachment 83341
huwa nikiangalia tofauti ya hizi picha inanifanya nisiamini wanasiasa.
kibaya zaidi wao pia wamesoma na kufanya kazi nchi nyingi zilizoendelea na wanazijua hizo tofauti wanazotuhadaa nazo
Awa nao wana gesi na wese kama wana Lindi na Mtwara.ila ufisadi wa wanasaiasa unawafanya wanaijeria kuishi kwa dhiki kiasi kuwa inafikaga nchi kuishiwa mafuta japo wanachimba hayo mafuta.Wanasiasa wao wana magari mpaka ya dola milion moja.