Kumbe NIGERIA kama BONGO

Kumbe NIGERIA kama BONGO

Bora Bongo. Halafu ni wezi, wabishi, wajuaji.
Kwenye hoteli zao mpaka Hilton AC zimefungwa na minyororo ili zisiibiwe. Hapo unadhani watu na nchi yao wakoje/ikoje
 
Ufisadi na rushwa zinawarudisha sana....otherwise.....yeah ndio kama TZ tu
 
lagos-slums.jpg


mycontinent.co
Mmmh, hapa lazima ni tandale hapa. Nakumbuka nilishapita maeneo haya!
 
Awa nao wana gesi na wese kama wana Lindi na Mtwara.ila ufisadi wa wanasaiasa unawafanya wanaijeria kuishi kwa dhiki kiasi kuwa inafikaga nchi kuishiwa mafuta japo wanachimba hayo mafuta.Wanasiasa wao wana magari mpaka ya dola milion moja.


Mkizubaa tu hiki chama cha magamba majangili watawaibia hela za GESI zote halafu watahamia Ulaya au Arabuni na kuwaacha solemba!! Komaeni nao hawa magamba mpaka watoke madarakani ndio salama ya nchi ama sivyo hiyo GESI itakuwa laana ya nchi.
 
Hapa tunajipa Matumaini tu, Lakini Tanzania Huwezi Ilinganisha na Nigeria kabisa pamoja na kwamba wana Ufisadi wa kutisha lakini hawa jamaa wako juu mno, Kumbuka wameisha rusha Satelite Angani, na Makampuni mengi makubwa Africa yako huko Nigeria na South Africa,

Makazi Duni yako Kila mahali hata kwenye Mataifa Makubwa kabisa, Sao paulo kule Brazil nako kuna makazi kama hayo ya Nigeria na Brazili kwa sasa ni Ya Sita kwa Uchumi Ulimwenguni iliipiku Uingereza
26-6_p38big(1).jpg

brazil-estrutural-slum.jpg


Huko ni Sao Paulo kwao wakina Lonado De Lima, na Sao paulo ndo kuna Slam Kubwa kabisa kuliko zote Ulimwenguni ikifutiwa na Ya Kenya,
 
Na hili ni moja ya sehemu ya Jiji La Sao Paulo Lenye Slam Kubwa kabisa Ulimwenguni
IMG_0140.JPG



sao_paolo.jpg


Sao-Paulo_Panorama6.jpg
 
Sao-Paulo_Panorama6.jpg


Tumsubiri Mwakenyembe ajenge Station kama hiii, "my foot"
 
Anasafisha mafuta kwa njia ya kuchemsha, jamaa wanaiba mafuta machafu na kwenda kuya-refine.

Hii picha inaonekana kama vile huyu mwananchi anazima moto wa bomba la mafuta vile; huku lazima ni OGONI nyumbani kwa marehemu Ken Serowiwa!
 
Bora Bongo. Halafu ni wezi, wabishi, wajuaji.
Kwenye hoteli zao mpaka Hilton AC zimefungwa na minyororo ili zisiibiwe. Hapo unadhani watu na nchi yao wakoje/ikoje
Mbona Watanzania mwapenda sana kuwatusi wengine? Mara hawa wezi, mara hawa maskini, mara hawa si wastaarabu, mara wana maringo......hizo ni dalili za low self esteem ama inferiority complex.
 
Mbona Watanzania mwapenda sana kuwatusi wengine? Mara hawa wezi, mara hawa maskini, mara hawa si wastaarabu, mara wana maringo......hizo ni dalili za low self esteem ama inferiority complex.

Nadhani hujaishi na wanaigeria kwa muda wa kutosha kuwafahamu, wala sikushangai kwa hilo. Waulize wakenya wenzako ambao wanaishi/wameishi na wanaigeria, hata wao wanalalamika.
 
Sao-Paulo_Panorama6.jpg


Tumsubiri Mwakenyembe ajenge Station kama hiii, "my foot"
Mkuu kituo kama hiki sio hatari, basically ni majengo mawili yenye stories mbili kushoto na kulia na kinjia cha kuunganisha na cover juu basi. Tungekuwa na mipango mizuri tungeweza kufanya hata zaidi, sema sasa hivi setback nyingi mno mara mikataba ya kifisadi n.k.
Uwezo TZ upo tukiwa na nia na tukiboresha mipango yetu.
 
Back
Top Bottom