Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 945
- 903
Hahaha,mida ya wakubwa iyo!!!Hala
Halafu sijui kwanini siku hizi ukiwa kwenye situation kama hiyo, ile saut ya sasa naliamsha inakujia
Extra huwa na full package mazee
Good Neighbour
Hahaha,mida ya wakubwa iyo!!!Hala
Halafu sijui kwanini siku hizi ukiwa kwenye situation kama hiyo, ile saut ya sasa naliamsha inakujia
Kama ungekuwa hauna mawazo hayo ungemrudisha huyo mdada pale pale mlangoniYaaaaaan hataaaaaaaah, sikuwa na mawazo hayo kabisa hahahahahahh
Hapo ndio picha linaaanzaSasa kama mwanamke akiomba extra pillow inakuwaje[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app
Hahahahhaah mbona sijamalizia story?? Sijasema nilimkaribisha ndan jaman hahahaKama ungekuwa hauna mawazo hayo ungemrudisha huyo mdada pale pale mlangoni
Kumbe mzee wewe una experience na extra pillow?? Mbona hamkutualert mapema humu??Hahaha,mida ya wakubwa iyo!!!
Extra huwa na full package mazee
Good Neighbour
Ungetuaga kabla hujaenda mkuu,anyway ndo experience izoKumbe mzee wewe una experience na extra pillow?? Mbona hamkutualert mapema humu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaaa haya bhanaHahahahhaah mbona sijamalizia story?? Sijasema nilimkaribisha ndan jaman hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida hiyo huwa kuna huduma za ziada. Sehemu zingine unakuwa mgeni viwanja huvijui.Mhudumu hajatulia.
Kwa kifupi natafuta Dada mwenye vyangu vigezo...
Naona umetukumbusha za wahengaUshindi upo lakini hauji Papo kwa Papo...
MOE nakula kiapo sihitaji tena MILUPO...
Come here MAA, najua wee KIFAA...
Haswaa nakuahidi tutafunga Ndoa naahidi tuzae Watoto MAA...
Ukimwaga mawazo nitavunjika Guu...
Twende Nyumbani Love, tukapate raha tu...
Ni wewe tu pekee sihitaji mwingine zee...
Nawe nakuomba usipagawe na Mapedeshee...