KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 696
Stigma arround sex is gradually fading! Sasa kufanya ngono inaonekana kama starehe ya kawaida kama zilivyo starehe zingine. Kwa hiyo si ajabu hata kina dada wanatafuta ngono kwa ajili ya kujifurahisha tu.
Hili ni jambo jema kabisa kwa binadam kwani sasa ndoa inazidi kuonekana kama muunganiko wa juu zaidi badala ya muunganiko wenye lengo la kutafuta raha ya ngono.
Mwelekeo ni kuwa itafikia mahali sex freedom itamaanisha kuwa kuoa au kuolewa litakuwa jambo la kizamani, yaani mduara unarudi huko nyuma tulikoanzia. Inaelekea evolution inawapa nafasi zaidi wanaume na wanawake wanaofanya ngono kwa uhuru zaidi ndo maana wote tunazidi kurithi vinasaba (genes) za kuturuhusu kuvumilia zaidi ngono huru. Ukijumlisha na maendeleo makubwa katika sayansi na tiba ambayo yameondoa magonjwa mengi ya zinaa (Gono na Kaswende yalikuwa magonjwa mabaya enzi zake kuliko ukimwi ulivyo leo), kuna uwezekano huko mbele binadam tukawa kama 'Bonobo Chimpanzees' ambao kusalimiana tu jike na dume lazima wapeane miili yao.