Kumbe huku kuna mahusiano kibao,
The Finest na Husninyo
ni kama wanafahamiana fulani ati.
hahaha! mamdenyi usimsikilize bishanga kazi yake kupaka majungu tu.
Mtambuzi give us a Break walau a month.... We deserve it and bring something on the men! Maana kwa kweli umeegemea upande mmoja...