Kumbe naye huwa ANAULALIA!!!

msanii mpaka kwenye mapozi ya kukaa bongo move mpo hapo msajilini atawafaa sana.
 
Nammpenda sana Rais wangu, Mungu amjalie Siha njema. Hana kisirani yeye ni mpenda watu na asiye na makuu!
 
Picha za namna hii zilikuwapo wapi zamani au tuseme mtandao umeamuwa kuwa active sasa? Nafikiri si muda mrefu wengine watafuatisha!
 
Waafrika hakuna utakalofanya wakakusifia zaidi ya kukuponda! JK yupo juu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…