Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Mwigamba ni mwanamageuzi wa ukweli.Heri ya hicho alichokifanya,kuliko kwenda kujisalimisha Lumumba.hakuwa na namna na ninaamini baunsa Lema siku zake zinahesabika Arusha mjini.
 
Jambo wakuu, jioni hii hapa Mwanza tumeshudia matangazo mitaani ya mwaliko wa mkutano wa chama cha ACT kesho ktk viwanja vya shule ya msingi mbugani miongoni mwa wageni wakitaifa ni pamoja na katibu mkuu taifa Samsoni Mwigamba kwa mujibu wa matangazo
Ccm wamsaidie kufanya mkutano kwao kina Mwigamba pale KAYENZE ndo labda atawaokota wanyantuzu wenzake.
 
Mwigamba ni mwanamageuzi wa ukweli.Heri ya hicho alichokifanya,kuliko kwenda kujisalimisha Lumumba.hakuwa na namna na ninaamini baunsa Lema siku zake zinahesabika Arusha mjini.

Kwenye sanduku la kura hapa arusha Kumshinda LEMA ni ngumu mno,waulize misukule wenzako waliopo hapa arusha.
 
Mlianza hoo chama ca waisilam mara wa kigoma fununu zimeanza cha wasukuma ufipa wanaangaika sana kwa kweli nimebaki nawasifi kitu kimoja tu mtusi nawapa point hamna ushindani nyambafu
 
mkuu. ACT lazima imng'oe mwehu lema jimbo la arusha mjini. wana arusha wamechoka na siasa za vurugu

CCM , Jeshi la Polisi , Jk na Mahaka zimeshindwa kumtoa Lema ndio mtaweza nyinyi? naona unaota ndoto za mchana
 
I see!!!, Daaah!!!!
Nilikuwa sijaipata hii, wanaishi na mahawara wapi mkuu?, hao mahawara ni akina nani, na hao watoto waliowatelekeza ni akina nani?, na wamewatelekezaje, wameshindwa kwenda shule, hawana mavazi na malazi na wala hawapati chakula!??
Yaani hii ishu iko iko vipi mkuu!!??

we kenge kamuuize rose kamili
 
Mwigamba ameshindwa kutafutiwa kazi na MM kama alivyoahidiawa,anazunguka na laptop ya ACT iliyochakaa,ofisi yake ni chini ya mti pale ofisi ya RC ARUSHA

we ni wakuhurumiwa tu hujui utendalo. hata wazazi wako wanasikitika kuwa na mtoto taahira kama wewe
 
we kenge kamuuize rose kamili
Ayaaa!!!, mkuu, kenge tena!?
Unajua mkuu hii ishu inaweza kukisambaratisha kabisa chama na utabiri wetu kwamba CDM hakitavuka 2013 akatimia,

Hebu mkuu nitonye kidogo, huyo rose kamili ndio hawala!?, wa Mbowe au Slaa!??
 
hawara wa baba ako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom