Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Mwigamba ni mwanamageuzi wa ukweli.Heri ya hicho alichokifanya,kuliko kwenda kujisalimisha Lumumba.hakuwa na namna na ninaamini baunsa Lema siku zake zinahesabika Arusha mjini.

lema hana chake arusha. huyu mchaga aende akagombee moshi. arusha tunataka wazawa hatutaki wakuja
 
Subiri uwone watu makini wenye elimu na cv zao usililize vizuri usije potosha watu humu kwenye janvi sera ya uwazi na democrasia iliojengeka viva act viva
 
Wewe madrasa nini, yani mtu mwenye FTC ndo msomi? MBA hata mjinga mwingine yoyote anaweza kusoma! angekuwa msomi asingeishia FTC!

mwigamba ni msomi. huwezi mfananisha na dj zero form six na dr.slaa mwenye phd ya canon law
 
Subiri uwone watu makini wenye elimu na cv zao usililize vizuri usije potosha watu humu kwenye janvi sera ya uwazi na democrasia iliojengeka viva act viva

chama makini cha ACT kitawafundisha siasa chadema
 
lema hana chake arusha. huyu mchaga aende akagombee moshi. arusha tunataka wazawa hatutaki wakuja

Mwigamba ndo mzawa wa AR? ACT= Alliance of Chadema Traitors. Hamwezi kusaliti harakati za ukombozi kwa pesa za ccm mkabaki salama! Hata hiki chama ni mwendelezo wa ccm kujaribu kuua chadema! Mwisho wa siku mtakuja kuungana na ccm na bado hamtaiweza chadema! Chadema ni mpango wa Mungu hautaweza kuangushwa na mwanadamu chini ya jua!
 
Jambo wakuu, jioni hii hapa Mwanza tumeshudia matangazo mitaani ya mwaliko wa mkutano wa chama cha ACT kesho ktk viwanja vya shule ya msingi mbugani miongoni mwa wageni wakitaifa ni pamoja na katibu mkuu taifa Samsoni Mwigamba kwa mujibu wa matangazo
Hiki ni chama cha wasaliti wa chadema yaani ACT=Alliance of Chadema Traitors!
 
Mwigamba ndo mzawa wa AR? ACT= Alliance of Chadema Traitors. Hamwezi kusaliti harakati za ukombozi kwa pesa za ccm mkabaki salama! Hata hiki chama ni mwendelezo wa ccm kujaribu kuua chadema! Mwisho wa siku mtakuja kuungana na ccm na bado hamtaiweza chadema! Chadema ni mpango wa Mungu hautaweza kuangushwa na mwanadamu chini ya jua!

harakati za ukombozi wa wachaga na wakaskazini? ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kanda
 
ACT ni mwiba kwa pro-Chadema kuliko hata CCM.
 
Mwigamba ndo mzawa wa AR? ACT= Alliance of Chadema Traitors. Hamwezi kusaliti harakati za ukombozi kwa pesa za ccm mkabaki salama! Hata hiki chama ni mwendelezo wa ccm kujaribu kuua chadema! Mwisho wa siku mtakuja kuungana na ccm na bado hamtaiweza chadema! Chadema ni mpango wa Mungu hautaweza kuangushwa na mwanadamu chini ya jua!

chadema ni mpango wa shetani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom