Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
hivi ni kweli wenje alizabuliwa vibao na mkapa?au ni habari ya vijiweniMwanza ndiyo ukawa na ukawa ndiyo mwanza. Nasikia Mkapa ndiye aliingilia kulazimisha matokeo na kumpora Wenje.
hivi ni kweli wenje alizabuliwa vibao na mkapa?au ni habari ya vijiweniMwanza ndiyo ukawa na ukawa ndiyo mwanza. Nasikia Mkapa ndiye aliingilia kulazimisha matokeo na kumpora Wenje.
Mkuu hapo umedanganya... we sio cdm...
Tulia gamba,upeo wako mfupi mno
Leo kwenye taarifa ya habari ya ITV wameonyesha maelfu na msafara mrefu wa magari ya wakazi wajiji hilo wakienda kumsindikiza mwili wa mwendazake alphonce mawazo kwenda hospitali ya bugando kwaajili ya postmortum .kwa maelfu ya watu tuliowaona ni dhahiri kabisa ukawa bado inanguvu sana katika ukanda huo wa ziwa.ila ccm wanatumia nguvu kubwa sana kusambaza propaganda kuwa ukawa imekufa
Ama kwa hakika leo tumepata majibu kwa macho yetu kwamba ukawa ina nguvu kanda ya ziwa
Apumzike kwa amani mwendazake alphonce mawazo
Mwanza ndiyo ukawa na ukawa ndiyo mwanza. Nasikia Mkapa ndiye aliingilia kulazimisha matokeo na kumpora Wenje.
Hivi kumbe walikuja mwanza kumpima kama kauawa na mapanga au ilikua ni maralia?,
nachukia sana maiti kutumika kisiasa
= postmortem
Ukiangalia situation vizuri kwa jicho la tatu utakubali tuHuyu Mkapa mbona mnamsingizia sana? Yan yeye ndo kawa mtu wa kutuwekea viongozi nchi hii.
Leo kwenye taarifa ya habari ya ITV wameonyesha maelfu na msafara mrefu wa magari ya wakazi wajiji hilo wakienda kumsindikiza mwili wa mwendazake alphonce mawazo kwenda hospitali ya bugando kwaajili ya postmortum .kwa maelfu ya watu tuliowaona ni dhahiri kabisa ukawa bado inanguvu sana katika ukanda huo wa ziwa.ila ccm wanatumia nguvu kubwa sana kusambaza propaganda kuwa ukawa imekufa
Ama kwa hakika leo tumepata majibu kwa macho yetu kwamba ukawa ina nguvu kanda ya ziwa
Apumzike kwa amani mwendazake alphonce mawazo
Mtoa mada kama kiazi vile unajua unachoandika /ulichoandika kweli.
Baada ya kuona UKAWA wamekuwa kimya kwenye sakata la uchaguzi mkuu wametuona mafala wanaendelea na uharamia usio vumilika hakika mlio husika hatma yenu iko karibu.
Wewe hujielewi, ulitegemea mtu aliyeuwawa kwenye siasa maiti yake isihusishe siasa? kweli ccm inaongoza maiti.Hivi kumbe walikuja mwanza kumpima kama kauawa na mapanga au ilikua ni maralia?,
nachukia sana maiti kutumika kisiasa
Mtoa mada naona ulifeli mtihani wa form two