Kumbe Mwanza bado waipenda UKAWA

Kumbe Mwanza bado waipenda UKAWA

Hivi kumbe walikuja mwanza kumpima kama kauawa na mapanga au ilikua ni maralia?,


nachukia sana maiti kutumika kisiasa

Nilidhani una akili,kumbe kichwa unatumia kufugia nywele tu🙂
Kwanini ukiwa ccm lazima uwe mpumbavu,hua sielewi hii kitu isee:what:
 
Nilidhani una akili,kumbe kichwa unatumia kufugia nywele tu🙂
Kwanini ukiwa ccm lazima uwe mpumbavu,hua sielewi hii kitu isee:what:
group la jukwaa la siasa now lipo wasap niibox nikuunge
 
Badala ya kuomboleza nyie mnaleta siasa. Hivi msiba nso una itikadi
Acheni upuuzi wenzenu wana majonzi nyie mnaleta siasa uchwara. RIP MAWAZO
 
Mwanza ndiyo ukawa na ukawa ndiyo mwanza. Nasikia Mkapa ndiye aliingilia kulazimisha matokeo na kumpora Wenje.
hadithi za kwenye kahawa, Wenje alirudia mara nne kuhesabu kura mara nne zote na akakubali kushindwa.
 
Nimesikitishwa na kifo cha Mawazo ingawa niliuhofia sana mwenendo wake he was too much in over confidence.

Sisi tuliosomeshwa kwa walezi wetu wauuza gongo tunaelewa maana ya umuhimu wa tester man... though is too peril to be a tester maana utatumiwa mpaka basi ukija kushituka umekufa.

Na kwa mwendo huu wa chama familia tujiandae kuwa na akina Mawazo wengi tu.
 
Back
Top Bottom