Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,165
- 831,901
Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa