Kumbe Mrisho Mpoto ni mjinga kiasi hiki

Kumbe Mrisho Mpoto ni mjinga kiasi hiki

Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
Mabumunda huwa yapo tu,na mengine hayafai hata kwa chai ama juice.
 
Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
Atakuwa anatiwa matakoni. Si kwa uchuro ule
 
Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
Linatumika ka kondomu
 
Ukishiba unaongea na tumbo na sio mdomo.
 
Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
bro ogopa sana njaa ikichanganyikana na ali, off cause huyu jamaa hajawahi kywa na akili hana tofauti na chiembe
 
Ukishaona mtu ana
1. upara halafu anafuga Rasta
2.Anatembea bila viatu

unategemea huyu ana akili Sawa
 
Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
Kuna watu wanajisahau sana. Wadhani wengine wakipata matatizo wanajifanyisha, ila wao wakipata matatizo ni ya kweli. Bure kabisa!
 
FB_IMG_1756033214373.jpg
 
Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
😆😆😆😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom