PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,346
- 46,176
Umenena vyemaNdiyo ajira yake!
Umenena vyemaNdiyo ajira yake!
AiseeMtu aliyemtoa kafara mke wake ili kusafishia nyota yake huyo ni zezeta hata anapopanua lile domo lake kama jaba utajua tu yule ni zero brain
Hakuzidi we mburukenge kwa upumbavu. Hv wapare mna nini? Udumavu au? Mbn hakuna mwenye akili? We ni zero brainWahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
![]()
jamani wacheni dhana hasa kwenye kifo cha mtu, kwa nini munajitafutia dhambi za bure?Mtu aliyemtoa kafara mke wake ili kusafishia nyota yake huyo ni zezeta hata anapopanua lile domo lake kama jaba utajua tu yule ni zero brain
Hao wanapewa mifupa inayodondoka chini ya meza wakati wakuu wanakula...,kwa mfano,huyo Deodatus Balile,kwa maneno yake mwenye tena kwa kujisifu alisema Rostam Aziz ndiye aliyelipia gharama za Masomo yake kule Hull,Uingereza kipindi kile. Na kwa vile Rostam anafaidika meza kuu ya watawala,unatarajia Balile amkosoe mama hata kama anakosea waziwazi? Waandishi wengi wa habari wako compromised,wanakosa uhalali na nguvu ya kukosoa kwa vile vitu vya kuwalainisha vimeshawapitia...japo hivyo wanavyopewa ni peanuts....lakini kwa gharama ya taifa.Jinga kabisa, hivi ni lijitu la wapi? Kabila gani? Sawa na lile li Balile
Ukitaka kujua upumbavu na ujinga wa Mpoto muulize Mgunga wa myeyelwa (atanisamehe kama nimetaja jina lake vibaya) maana ndio watu waliomlea huyo mpumbavu na mjinga.Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
![]()
AIONE BALILE DEODATUS MHAYA KAFIRIHao wanapewa mifupa inayodondoka chini ya meza wakati wakuu wanakula...,kwa mfano,huyo Deodatus Balile,kwa maneno yake mwenye tena kwa kujisifu alisema Rostam Aziz ndiye aliyelipia gharama za Masomo yake kule Hull,Uingereza kipindi kile. Na kwa vile Rostam anafaidika meza kuu ya watawala,unatarajia Balile amkosoe mama hata kama anakosea waziwazi? Waandishi wengi wa habari wako compromised,wanakosa uhalali na nguvu ya kukosoa kwa vile vitu vya kuwalainisha vimeshawapitia...japo hivyo wanavyopewa ni peanuts....lakini kwa gharama ya taifa.
Lakini drama za utekaji mbona hivi sasa hakuna tangu kusambaratika kwa chadema?Wahenga huwa wanawaambia watu wapumbavu kukaa kimya ili kuficha upumbavu wao.. Kwakuwa kwa kufungua kinywa tu kila mtu hujua kwamba hakuna kitu hapa
Mrisho Mpoto msanii wa kutumainiwa na ccm anasema watu wanafichwa ili wasingizie wametekwa kuichafua serikali
Kama huu ndio mtazamo wake basi inawezekana kabisa kamficha mkewe kisha kasingizia amekufa
![]()
Mwamba kwa miaka 20 Ufipa hamkumjua ni nani 🥷😄Mnafanana sana mitazamo yenu😂
Unataka kusema nini mkuu 😂😂Mrisho Mpoto ni mchagga wa Siha kwa akina Mollel 🐼
Baada ya hiyo chadema kusambaratika watekaji wako huru kufanya watakalo, maana hamna wanaolinda raia tena.Lakini drama za utekaji mbona hivi sasa hakuna tangu kusambaratika kwa chadema?
mi nadhani,
huenda chadema ndio ilikua genge la kihalifu la utekaji nchini 🐒
Itakua jitu la NAMTUMBO Ruvuma, huoni lina tumbo tani nzimaJinga kabisa, hivi ni lijitu la wapi? Kabila gani? Sawa na lile li Balile
😂😂Unataka kusema nini mkuu 😂😂