Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Diamond siyo kuwa hakuwa hajui alikuwa ana make headline halafu awapige hela kwenye ile whitepart!

attachment.php
 
Unajuaje kuwa hayupo?
Koh koh koh...utasutwa shoga wewe

Hayupo mimi nimewahi kushika simu yake.
Mweeeeeee amsute nani yaani mimi ata kama nimekusema yaani uje kuniuliza kistaraabu sana ikibidi na wine uninunulie ukija kwa fujo badala ya kuchamba unachambwaaa.
 
Ivi....vimisemo vingine haviwapendezi wanaume.
Malimao ale Zarina alogonganisha mabwana mpaka sie wambeya tumejikuta katika hali ngumu kuelewa DNA ya kujua mtoto ni wa kike ilifanyikaje fanyikaje na kwa teknolojia ipiii...dna na jinsia kaah

Aaargh mtani inawezekana bwana we jaribu tu kugoogle utaona,wataalam wanasema ni mbinu mpya.
 
ohoooo!!hukuipataga hiyo,beki tatu kabisaaa,alimletea shida huyo beki tatu we acha tu,sema sie wengine hatupendi kuandika privacy za mtu,tunayajua sana tu sema tunakausha

hahahahaha....ila noma sana...kwa hio ana mu un dresssss beki tatu hivi hivi....na mashabiki mandazi wake wanamwita King....lol...noma sana best
 
Kwani unapoweka picha yako ya uchi mtandaoni unategemea watu wasiijadili? Ndo sawa na hao wameiweka picha ya mimba kwa sie public tuijadili...... Privacy iko chumbani kwao ... Na pis wakiweka wanavyodinyana pia tuwadiscuss... Hawataki maneno ha watu basi wabakinazo kwenye visimu au camera zao..... Ila kaa ukijua wenzio wanapenda hii publicity wewe tu ndo kinakusokonyola

Mkuu kama tunaongelea mimba.....hasa jinsi ilivyoingia.....sio public

Ila kama wewe ulikua pale kwenye mashavu ya nanihii ya Zari wakati Dimond anatupia vitu hapo sawa u can comment

Lakini bila hivyo...acheni u pros kama wa wema
 
Halo haloooooo! Halo ya mama chibu kulilia muhogo wa jang'ombe wa dogodogo!
Hahahahahaaa

Mmeona watoto hawatoshi mmeanza kuwafata mama za watu?

Hivi nyie watu mna wazazi kweli?

Mbona kama ni machokoraa nyie?
 
Jamani yanayofanywa hadharani acha yajadiliwe hadharani.Huo mtumbo wa zari kila siku unarushwa kwenye mitandao lazima watu wamjadili akitaka uprivacy atulizane wanaomjadili hawakosei.Hata wanaojadili mimba ni ya domo au katunzi hawakosei wahusika ndo wameruhusu hilo.baba k na mama k.
 
Mmeona watoto hawatoshi mmeanza kuwafata mama za watu?

Hivi nyie watu mna wazazi kweli?

Mbona kama ni machokoraa nyie?

Kwendraaaaa! Wewe unavyomtukana wema hapo una dada kweli? Hata kama hauna huyo ni mwanamke pia.
Ungeonesha mfano kwanza ndio utuseme sie, mnafki mkubwa.

HALO HALOOOOOOO! HALO YA MAMA CHIBU NA DOGODOGO WAKE ALIYEOA!!

Tena usinichefue ipo siku nikichafukwa nitaweka picha zake chafu huku na huyo serengeti wake, ohooooo!
 
Nyie mnadhani hata kama hiyo mimba sio yake atasema? Hiyo inaitwa KUFA KIUME!
Kwahiyo wambea tutasubiri sana...

Hawezi kukiri hadharani ili aibike ataumia tu moyoni ili kuonyesha na yeye ana weza kuwa na mtoto.
Hata uwe na roho gani mwanaume uwe unaskia mimba ni ya jemba lingine lazma uumie kwa sana tu.
 
Jamani yanayofanywa hadharani acha yajadiliwe hadharani.Huo mtumbo wa zari kila siku unarushwa kwenye mitandao lazima watu wamjadili akitaka uprivacy atulizane wanaomjadili hawakosei.Hata wanaojadili mimba ni ya domo au katunzi hawakosei wahusika ndo wameruhusu hilo.baba k na mama k.

Ama nini? Wangetaka siri si wangeficha? Tumbo linaanikwa kama papai juu ya mti halafu watu wananung'unika sisi tukisema!
 
Kwendraaaaa! Wewe unavyomtukana wema hapo una dada kweli? Hata kama hauna huyo ni mwanamke pia.
Ungeonesha mfano kwanza ndio utuseme sie, mnafki mkubwa.

HALO HALOOOOOOO! HALO YA MAMA CHIBU NA DOGODOGO WAKE ALIYEOA!!

Tena usinichefue ipo siku nikichafukwa nitaweka picha zake chafu huku na huyo serengeti wake, ohooooo!

ziweke Bana sie tufaidiiii alaaaa
 
Hahahahaaaa, chezea professional gold digger wewe?
Zari ni balaa yule mwanamke.

Kamshika chibu wa watu masikio. Yule sio mjinga kujibana mahali ukafikiri ana upendo alimwacha mumewe waliozaa watoto watatu sembuse kwa kijana. Zari yuko after something na akikipata atasepa tu huyu. Ka ni kweli kamshika masikio chibu huyu ni international gold digger anayetumia ujanja wa hali ya juu.
 
Hawezi kukiri hadharani ili aibike ataumia tu moyoni ili kuonyesha na yeye ana weza kuwa na mtoto.
Hata uwe na roho gani mwanaume uwe unaskia mimba ni ya jemba lingine lazma uumie kwa sana tu.

Lazima aumie sio siri, lakini kutokana na kick mjini mtu inabidi afe kiume tu.
 
Kamshika chibu wa watu masikio. Yule sio mjinga kujibana mahali ukafikiri ana upendo alimwacha mumewe waliozaa watoto watatu sembuse kwa kijana. Zari yuko after something na akikipata atasepa tu huyu. Ka ni kweli kamshika masikio chibu huyu ni international gold digger anayetumia ujanja wa hali ya juu.

Hahahahaaa, usione vyaelea vimeundwa mama.
Domo akadaka jimama kwenye ndege kumbe jimama la watu linamfuata baby dady Katunzi! Mwenyewe akaona kapaaata, na tungojr yetu macho.....kikubwa uzima tu.
 
Back
Top Bottom