Escardo-bird
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 622
- 225
Mtoto wa mwenzio ni wako
Hahahaaaa tutamuona tuu.
Ant enyewe alimficha mtoto wake shoga nilivyo mmbea nilitia maguu pale ila yule bi dada kiboko loooh marufuku kumpiga mtoto wake picha nikasema ngoja niende nirudi baada ya mwezi.
mkuu hapo wanena safi saaaana
Jamani saa 10 budget inasomwa,punguzeni umbea., msikie budget ya mwisho ya MKESHA ANGANI.
Hahahahaaa, halafu nilisahau kama na wewe siku hizi ni mbea tofauti na atoto ndio kabaki mwenyewe.
Ngoja nitakuunga kwenye group la wambea....
Haya tupe kashda shoga, mtoto anafanana na nani? Moze au?
kwa kidume ukipiga bao la mimba unajua tu hapa imeingia
Sasa mimba abebe zari
Mimba abebeshwe na Diamond
Wanaoumia kina wema na alikiba
Sasa si majanga hayo? by snura
Mimba sio yako....mbebeaji sio wewe...mbebeshaji sio wewe...sasa maumivu ya nini kwako?
Shoga ebu fanya kuniungaa....mtoto kwakweli hajafanana na dancer sijui ile sura ni ya nani.
Sema ujue nini ukimbeba kidogo tuu unaambiwa haya mweke kwenye kitanda chake kweli mama cookie ni shida hataki mtoto akaguliwe.
Na sijui kama atapostiwa sura yake ivi karibuni looh wanakangoja kakue kue sura ieleweke
Na wewe team nani? kwani hapa kuna mpira?
Jamani saa 10 budget inasomwa,punguzeni umbea., msikie budget ya mwisho ya MKESHA ANGANI.
achana nae huyo team chibu
Hahahaaaa tutamuona tuu.
Ant enyewe alimficha mtoto wake shoga nilivyo mmbea nilitia maguu pale ila yule bi dada kiboko loooh marufuku kumpiga mtoto wake picha nikasema ngoja niende nirudi baada ya mwezi.
Nyota njema hung'ara toka asubuhi.. tangu aanze kufwanya wakina kidoti isitokee wabebe mimba na akati kila mtu alitamani kubebe mimba ya domo lol.
Kweli zari kiboko kafanya yake kutembelea nyota ya domo tz mweeeeeeeeee
Shoga sikuwezi kwa umbea, nakuvulia kofia aisee.
Sasa subiri nitaenda kukuunga ila uingie kwa web/PC ndio utaona notification ya group invitation, si unajua tena kwenye App huoni notification yoyote zaidi ya PM?
Nani ambae hajui sasa? Unadhani kila mtu ni kilaza kama wewe?
Hiyo budget nataka nione na huko Kenya na wengine bajeti zao zikoje basi.
Hata hivyo hongera kwa kutoa taarifa, nadhani wengi hawajui (wenzio).
ahahaaa mtani we kiboko!sasa ulivyofika pale ulianzaje?nimekuja kumuona mtoto au nimekuja kukusalimia?!teh teh
Wewee ni kiboko loo salutee...
Yaani imf zote upo nazo kama ndo zari vile kweli umbea raha...
Dildo tenaa looh ebu kolezeaa jamaniii