Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,485
Haaa!
Watu bwanaa...team chibu wabaya sana nyie.
Last edited by a moderator:
haupokei pm umeifungaaa weweee
Haaa!
Watu bwanaa...team chibu wabaya sana nyie.
halaf anasema yupo humu naona yupo kwa I'd mpya SI unakumbuka ishu ya group nayo kaiongelea kua amemuadd group wakat walisema ukiwa na I'd mpya hakuona kujiunga group
Group lenyewe lishaingiliwa na virusi ndio maana halina mwelekeo.Huyu kwanza atakua hampendi kiba..
Pili ndo yuleee amabaye huwa anatumention kwa yule baboon.
halaf kila posti lazima amchambe lol,nimeiona hiyo ya zari napo kachamba,halaf Kwa chin kachambwa na yeye kua amfate jf nifah
utuwacheee,hivii nieleweshe hizo methadone ni dose ya milelew???
Group lenyewe lishaingiliwa na virusi ndio maana halina mwelekeo.Huyu kwanza atakua hampendi kiba..
Pili ndo yuleee amabaye huwa anatumention kwa yule baboon.
Kwani hata najali basi? Aseme weeee atajijua mwenyewe.Alianza pilipili na akaacha itakua yeye?
Nampa offer kama anajiamini anikabili hukuhuku, kusemea pembeni ni ishara kua ananiogopa, namnyima usingizi....
Hahahahaaa raha sana kwakweli.
JF yenye members zaidi ya laki mbili mtu ananikomalia mimi tu? Mti wenye matunda matamu ndio hupigwa mawe....asante kwake kwa kuyapenda matunda (comments) zangu.
Nifaaaaaa nianze wehu?
Nifaaaaaa nianze wehu?
Mhuu...ila kuna watu mna mambo ya ajabu.
Mpaka umejitokeza!
halaf kila posti lazima amchambe lol,nimeiona hiyo ya zari napo kachamba,halaf Kwa chin kachambwa na yeye kua amfate jf nifah
Hajapewa zile dawa zao za waathirika wa madawa ya kulevya