halaf anasema yupo humu naona yupo kwa I'd mpya SI unakumbuka ishu ya group nayo kaiongelea kua amemuadd group wakat walisema ukiwa na I'd mpya hakuona kujiunga group
Huyu mtu ni miongoni mwa sisi wambea wa hapa hapa sasa mtu ana chuki zake binafsi anamalizia kwa staili hiyo.
Ila ni fa.la tuu. Mimi kanitaja? Apo ni wapi nikamsome tena nimchambe mb.wa koko yy