Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,180
Why not? Anza tu kwani unadhani nakuogopa?
Haya nakusubiri.
I luv you
Why not? Anza tu kwani unadhani nakuogopa?
Haya nakusubiri.
kachelewa kwenye matibabu
I luv you
Yap mbona anaongea kwenye hizo vid hujachek?analalamika hajapewa hizo dawakweli....?!!
Yap mbona anaongea kwenye hizo vid hujachek?analalamika hajapewa hizo dawa
Thank you.
Mhuu...mapya haya.
Analalamika asipopata dawa mifupa inauma,anatoka mbali ila hospitali hawamuelewi ndo maana analiaokey mi sijasikiliza asa ndo alie ...!!
Analalamika asipopata dawa mifupa inauma,anatoka mbali ila hospitali hawamuelewi ndo maana analia
hiyo dose haiiishagiiiii
Analalamika asipopata dawa mifupa inauma,anatoka mbali ila hospitali hawamuelewi ndo maana analia
Nasikiaga ni miaka minne kama nitakua sahihi.
Ikishaisha hiyo miaka ndio anapona kabisa.
heeee mbona kazi ipo miaka minne,kazi ipooo
Yeah, si alianza mwaka 2012 mwishoni sijui ilikua?
Ila baada ya miaka minne ndio dose inaisha.
Afu anasema eti " hamnipi dawa mnataka nikale unga tena" teh utadhani akivuta anawaathiri madaktarikweli teja haponii
ni kila siku wanatumia dawa au kwa mwez Mara moja??
Hata sijui dose ni muda ganihiyo dose haiiishagiiiii
Weee! Nasikiaga ni kila siku.