Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,320
Hajapewa zile dawa zao za waathirika wa madawa ya kulevyahhhaaaa nimemuona ray c sijui kimemsibu!
Hajapewa zile dawa zao za waathirika wa madawa ya kulevyahhhaaaa nimemuona ray c sijui kimemsibu!
hhhaaaa nimemuona ray c sijui kimemsibu!
watu wengine hawalijui Hilo,kila mtu awe timu yake lakini tusichukianee,ndio vile kila mtu na mawazo yake hayo
Huyu mtu ni miongoni mwa sisi wambea wa hapa hapa sasa mtu ana chuki zake binafsi anamalizia kwa staili hiyo.
Ila ni fa.la tuu. Mimi kanitaja? Apo ni wapi nikamsome tena nimchambe mb.wa koko yy
Huyo anayetukana wenzake kwenye ma blog nyingine hajiamini na ana matatizo ya kisaikolojia. Hivi unawezaje kumchukia mtu na fake id's ka si ukichaa mini? Plasi stress za maisha afanye yake kihangaika na wanaotumia fake ids ni ukichaa wamsumbua.
Ngoja nikuambie Dinazard utu uzima dawa. Huyu mtu anajaribu kutengeneza mazingira ya nifah kuchukia watu humu.
Anataka nifah aanze kuwa hisi wale aliowaambia ata wa add. Ila nina uhakika huyu haja addiwa kule na pia ata nifah hajamshirikisha kasoma tuu kwenye comment basi akaona apa apa ngoja nimtengenezee mtu bifu. Na nimeshajua huyu mtu amlenga nani ambae nifah lazma amhisi.
Ila najua nifah ni mwelewa.
watu wengine hawalijui Hilo,kila mtu awe timu yake lakini tusichukianee,ndio vile kila mtu na mawazo yake hayo
hivi hizo dawa hazina mwisho wa dose au??maana ni kama dose ya HIV sasa lo,hiyo methadone ni vidonge au sindano,
Jaman madawa mabayaaa loo
Huyu SI aje akuchambie Tu huku jf au anakuogopaaaa eti nifah
Ndo nini na we we kuji quote 😀😀😀
Hahahahahaaaa! Jamani nimecheka hadi naulizwa kulikoni?
Nashindwa hata niseme nini maana ni raha iliyoje mtu asiyenijua ananifuatilia kiasi hicho? Aendelee tu asiache bwana maana ananiogopa inabidi akamwage povu huko.
Ngoja nimpe ujanja maana anaogopa kichambo changu cha hadharani, ajiunge kimyakimya anifuate PM basi? Afanye hivyo kabla ya Ramadan maana atanimiss sana kwa mwezi mzima!
Mfikishie huo ujumbe (najua lazima atakuja na atasoma mwenyewe maana hana jinsi wala kazi zaidi ya kunifuatilia)
Halafu shoga uliyeko huko kwenye blog ya uswahilini hujui hata kusoma profile za watu humu? Mimi si nimeandika ni jobless? Mapovu ya nini? Pole sana maana najua wewe mshamba ulikua hujui kama watu wana profiles huku JF.
nilimkot Evelyn sasa nilikua namuuliza heeeee kumbe nimejikot mieee hhhhaaa
Halaf ndio nini kunifanya mwana wa mwenzio nna kesi na wewe aiseeee
Hahaaaaa umeji quote mwenyewe best. Case gani tena wajameni.
ntakuambia pm
lazima aje kusoma halaf akachambe Kule,hhhhhaaa
Mbona rayc analia vile et kanyimwa dawaa,Ina maana hizo dawa mpaka muda gan ndio umalize kuzitumia,maana naona ni muda mrefu anatumiaa lo, et geniveros Diva Beyonce
Ngoja nikuambie Dinazard utu uzima dawa. Huyu mtu anajaribu kutengeneza mazingira ya nifah kuchukia watu humu.
Anataka nifah aanze kuwa hisi wale aliowaambia ata wa add. Ila nina uhakika huyu haja addiwa kule na pia ata nifah hajamshirikisha kasoma tuu kwenye comment basi akaona apa apa ngoja nimtengenezee mtu bifu. Na nimeshajua huyu mtu amlenga nani ambae nifah lazma amhisi.
Ila najua nifah ni mwelewa.
Yani kaliaaa mpaka basi.
Huruma, au walitaka kitu kidogo?