Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,324
Sasa hiyo ni personal conflict....sio kua namkubali mange ila neno tu neno bibie we mengine ya mange yaache chek quote over hebu tuchek story zingine bana wakati tunamngoja East African royal princess au sio? LolMange angekua ni mtu wa maana ningezikubali nukuu zake kama za maan.Toka alipolalwa na Kim tapeli, yeye mama Mwele na dada yake hafai kuwa mfano wa kuigwa..
Nukuu zake hazina mashiko.