Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Hahahahaa eti kitanda hakizai haramu...khaaaa!
Kwa situation ka hii hamna cha haramu wala nini. Haya ni maneno tu ya kujifariji buaaaana yani mtu akudaganye hafu ujifariji kitanda hakizai haramu. Pole zake inauma sana tuuu.