Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Hawa Global wajinga sana kila siku wanaandika habari ile ile kwa njia ile ile...!
 
Ngoja na mimi nitulie tusaidiane kuprint yawe mengi kila mtu ashike lake.Hata mawili mawili kwa msisitizo zaidi.
Boy lazima arudi kwa mama week hii!

Jamani huyo mama kafanya nini mbna sielewi
 
ahahaha!!nilikua nampetipeti shemeji yako best Freeland,mmmmnnnnhhh!!!sio kwa mahaba hayo!!
Wengine fanya kuwapuuza tu maana hawana faida!!kimbley natosha!!yaani hata wasikupotezee muda,jifanye kama uwaoni vilee ndio hadhi zao
 
Last edited by a moderator:
tenaaaaaaaaaa
mtu mzima hovyoooo hajiheshimu kutwa kuzunguka na dogodogo ndo maana anashindwa kumuonya ht mwanae kila siku kubadili sample

wanavyotukanwa wazazi wa wema mnona raha eeeeee
ama kweli mtenda akitendewaa...m

Huyo bi mkubwa kafanya nini tena mbna network haisomi
 
Tulianza kuambiwa kuwa Zari ana mimba feki!!

Mahater mkale malimao!!
 
Tulianza kuambiwa kuwa Zari ana mimba feki!!

Mahater mkale malimao!!

Waende jukwaa la mapishi kule Fakhrina anatengeneza chachandu safi sana!!wakaile na ndizi sijui viazi +majungu yao,wakitoka hapo wakalale
 
Hahahaaaaa mimi naombea iwe yake maana kuna watu humu mtaama jukwaa
 
Hahahaaaaa mimi naombea iwe yake maana kuna watu humu mtaama jukwaa

best ujue mtu ambaye ni masikin akiokota burungutu la hela anachizika, yule mbegu zake ni hafifu ndo maana haamin katungisha mimba yaan mtoto akiwa wake tujiandae kumzika kwa kufa kwa furaha ilozidi, watu wamezaa hadi marais wa dunia atakuwa yeye
 
Hahahahhaaaa! Nimekupenda bure mwaj waukweli.Halafu sijui nasahau vipi kukuunga kwenye group la wambea.
Kwahili jihesabu umo.
 
Last edited by a moderator:
best ujue mtu ambaye ni masikin akiokota burungutu la hela anachizika, yule mbegu zake ni hafifu ndo maana haamin katungisha mimba yaan mtoto akiwa wake tujiandae kumzika kwa kufa kwa furaha ilozidi, watu wamezaa hadi marais wa dunia atakuwa yeye

Ngoja tungoje mamy maanaaa....
 
Hahahahahaaaa
 
Kaaah
Ule ubuyu first grade

Acha tu.Ndio Mange na misukule yake kujidai eti tunamjadili yeye tu.
Sijui hajioni kama ana damu ya kunguni? Mimi ananifurahishaga mara chache tu.
 
Team mayai kwishneyiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…