Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Well am glad.
Ila haiondoi ukweli kuwa Wema naye ni binadamu ana ubongo kama mimi.
Amefanikiwa kufungua kampuni yake binafsi,
Ana vitega uchumi na miradi mingi ambayo soon ataitangaza,
Aliweza kuyashinda mazingaombwe ya Nassin aliezika kondoo mzima.

ahahhahahaaaa!!vitega uchumi........
...........................no network!
miradi mingiii..............loading failed!!
kampuni yake.....................43%!
oophhhh!mama ubaya kiboko
 
Rais wa wasafi alikosea njia sana

Huyu sio mwanamke wa kupiga

Huyu ni gagagudu.....

Yaani huyu na wale wa kona bar hana tofauti

Ndio maana Dimond alikua hana mwelekeo wa maisha kwa sababu ya huyu mtu

Right now Dimond ni mtu anayejielewa anafanya nini...kwa sababu yuko na Brainy woman

Sasa hili gagaggudu linawaza pombe na kuuza papuchi tu....

Ikumbukwe pia mama Dai alishawahi kuitwa hilo neno malaya
Let me save the history things.
 
Hahahahaaa, wakati mwingine sio kila kinachofanywa na wapinzani ni kibaya, sisi tunamsapoti mama yetu bwana.
UCHUNGU WA BWANA AUJUAYE MWANAMKE!

Mkuu nina wasiwasi wewe genye huwa haziishi
 
Kwani tatizo liko wapi? Mimi hapa namsupport mama chibu katika kampeni yake ya kurudisha JIHOGO lake la JANG'OMBE wewe kimekuchoma nini?
Au wewe ndio mke wa Saleh wa sasa nini? Roho inakuuma kisa namkampenia mama kurudisha serengeti wake?
Halooooo, pole zako.Wa kwanza atabaki kuwa wa kwanza tu.
Mimi pia ni mwanamke, kwahiyo nahisi maumivu sawa na ya mama chibu, dogodogo lazima arudi ili mama apone.


hhhahaahaaawa bringback our serebooo

labda mwaka jana!
 
And then thats just a story with no evidence

Hahahahahhahahahahahahahah...Atafungua duka South Afrika sio?

Na hata kiosk hana Tanzania?

Kweli nyie mashabiki wa gagagudu mmelogwa.

Namfahamu wema alivokuwa anakuja namchoropoa vimimba vyake

Wewe ni mganga wa kienyeji au tabibu?
 
Hahahahahah..Taarifa za uhakika anazo Nifah...doh...hii kali...enheee taarifa za uhakika zingine ni zipi?

Kaa kimya taahira wewe, usinichukulie poa maana hunijui.Huyo chibu unayemuona wa maana leo wenzio tulikua tunamdharau huku kitaa enzi hizo.
Vipi nisijue habari zake? Sio kila kitu udandie, utadandia hadi MPINI WA MOTO mwanaume.....shauri zako.
 
Hahaaaaa huyu anko Salehe kiboko aisee hana huruma kabisa kamlambisha ndimu mama wa watu Mpaka kachoka ndimu zikamshinda na maumivu yalivozidi wakampeleka India kumwona Daktari loh! Hatari sana.


hv unajua anko ashammimbaga b.mkubwa ila akachomoa kibendiii kuogopa nomaaaaa
 
Atleast ni malaya mwenye kiwango sio kama wema jamani kina mr blue, munyama mmh cheki hata kalulu ni ka malaya lakini kako classic

Malaya ni malaya tuuu,
Awe mweupe au mweusi, Awe na mtoto au hana, awe mganda au mtz, awe class au shabby,awe mfupi au mrefu.
Malaya ni malaya tu.
Mkuki kwa nguruwe.
 
Kaa kimya taahira wewe, usinichukulie poa maana hunijui.Huyo chibu unayemuona wa maana leo wenzio tulikua tunamdharau huku kitaa enzi hizo.
Vipi nisijue habari zake? Sio kila kitu udandie, utadandia hadi MPINI WA MOTO mwanaume.....shauri zako.

sihitaji kukujua physically....the way you are writting tells alot about You...You are easilly predictable
 
wazazi wa wema hawajatukanwa na mashabiki wa Platnumz Diamond

Wazazi wa wema walitukanwa na mashabiki wa Kajala ...pros mwenzake wema...kwa sababu wote waliiba mme wa mtu mmoja

Sasa jinsi mashabiki wa Pros maarufu east and Central Africa uwezo wenu wa kufikiri upo kiganjani...u cant think beyond the borders

Thinking beyond borders ni kumzushia Wema habari kuwa ulimtoa mimba saba???
 
ahahhahahaaaa!!vitega uchumi........
...........................no network!
miradi mingiii..............loading failed!!
kampuni yake.....................43%!
oophhhh!mama ubaya kiboko

Let us wait buanaa
 
Malaya ni malaya tuuu,
Awe mweupe au mweusi, Awe na mtoto au hana, awe mganda au mtz, awe class au shabby,awe mfupi au mrefu.
Malaya ni malaya tu.
Mkuki kwa nguruwe.
Ha ha ha slow down.....hapa hakuna mkuki wala nchale
 
tenaaaaaaaaaa
mtu mzima hovyoooo hajiheshimu kutwa kuzunguka na dogodogo ndo maana anashindwa kumuonya ht mwanae kila siku kubadili sample

wanavyotukanwa wazazi wa wema mnona raha eeeeee
ama kweli mtenda akitendewaa...m

Jimama zima lijilengeshe lenyewe kwa serengeti boy halafu mie niumie au niache kusema inahusu?
Hizi voice notes tu watu wanamwaga povu siku video ikiwekwa si watazimia?
Iko wazi mama chibu ni mshenzi ndio maana baba chibu alimshindwa.Halafu leo hii Domo anamchunia baba yake, anajua mama yake alimfanya nini? Kama mambo yenyewe ndio haya baba yuko sahihi kabisa.
Japo nae alikosea kumtelekeza mtoto ila mama alichangia.
 
Back
Top Bottom