Kumbe mamlaka ya juu inamuogopa Lowassa kiasi hiki!?

H.T.P

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,169
Reaction score
1,298
Wote tumeshuhudia CCM ikiweweseka baaada ya Mh Lowasa kutangazwa kuwa mgombea wa uraisi kupitia chadema na UKAWA, wakiingiza magari y washawasha na ya doria zaidi ya 300!

Swali ni kwamba kama huyu mtu ni fisadi kwanini wenye haki wanamuogopa sana?

Hebu CCM tuambieni ni kitu gani mnachoogopa kwa huyu mzee ambacho hamtaki watanzania tukijue? Wakuhemka hemkeni tu ruksa
 
Hayo yako haogopewi.si alikatwa kwenye hatua za kinyang'anyiro? Wangekuwa wanamuogopa wasingemkata. Na baadaye wamemtupa knockout kwenye urais. He is no more. Mmebaki na porojo tu mara uchaguzi wa Z,bar umefutwa na huku ufutwe mata Zec imtangaze Shariff Hamad Rais wa Z,bar. tunasonga mbele HapaKaziTu
 
Wote tumeshuhudia CCM ikiweweseka baaada ya Mh Lowasa kutangazwa kuwa mgombea wa uraisi kupitia chadema na UKAWA, wakiingiza magari y washawasha na ya doria zaidi ya 300!

Swali ni kwamba kama huyu mtu ni fisadi kwanini wenye haki wanamuogopa sana?

Hebu CCM tuambieni ni kitu gani mnachoogopa kwa huyu mzee ambacho hamtaki watanzania tukijue? Wakuhemka hemkeni tu ruksa

raisi ni Magufuli acha uchochezi.
 
ImageUploadedByJamiiForums1447594476.095307.jpghuyo hapo🐂🐂🐂🐂🐂🐂🐂
 
Magari ya washa washa yalitengewa bajeti na ktk kikao cha bajeti 2015/16 ilijadiliwa na wabunge wa upinzani waliyapgia kelele na kipindi hicho lowasa yupo ccm kwahiyo mtoa mada uwe makini maana umechanganya mambo juu ya magari na lowasa
 
Kuongea yajayo ingekuwa vema zaid kuliko kuongea yaliyopita ambayo tayari ni historia na yatasomwa kwenye DS,GS,CIVICS na MAARIFA YA JAMII.TUONGELEE UCHUMI
 
Wote tumeshuhudia CCM ikiweweseka baaada ya Mh Lowasa kutangazwa kuwa mgombea wa uraisi kupitia chadema na UKAWA, wakiingiza magari y washawasha na ya doria zaidi ya 300!

Swali ni kwamba kama huyu mtu ni fisadi kwanini wenye haki wanamuogopa sana?

Hebu CCM tuambieni ni kitu gani mnachoogopa kwa huyu mzee ambacho hamtaki watanzania tukijue? Wakuhemka hemkeni tu ruksa

Hebu twende na kichwa cha habari ambacho kinaeleza kwamba mamlaka ya juu inamuogopa, huku akiwa ameshinda kama mnavyodai! swali, je! ikiwa mamlaka ya juu inamuogopa, kwanini basi haikuogopa kumtangaza ameshindwa? Na unaposema mamlaka unailenga mamlaka gani hasa?
 
Wote tumeshuhudia CCM ikiweweseka baaada ya Mh Lowasa kutangazwa kuwa mgombea wa uraisi kupitia chadema na UKAWA, wakiingiza magari y washawasha na ya doria zaidi ya 300!

Swali ni kwamba kama huyu mtu ni fisadi kwanini wenye haki wanamuogopa sana?

Hebu CCM tuambieni ni kitu gani mnachoogopa kwa huyu mzee ambacho hamtaki watanzania tukijue? Wakuhemka hemkeni tu ruksa

Ccm ni janga la taifa jingalao
 
Last edited by a moderator:
Kuongea yajayo ingekuwa vema zaid kuliko kuongea yaliyopita ambayo tayari ni historia na yatasomwa kwenye DS,GS,CIVICS na MAARIFA YA JAMII.TUONGELEE UCHUMI

Historia pia ni somo
 
Lowasa alishinda urais kwa kura nyingi sana..zaidi ya milioni kumi..Magufuli aliambulia kura milioni tatu

najua unaongea Uongo kwa kuwa uliondoka na Jamaa kwa kudhani utaupata U dc iwapo angeshinda kwahiyo roho bado inakuuma. Rudi kama Alivyorudi Mussa Alain aka Msalani
 
Magari ya washa washa yalitengewa bajeti na ktk kikao cha bajeti 2015/16 ilijadiliwa na wabunge wa upinzani waliyapgia kelele na kipindi hicho lowasa yupo ccm kwahiyo mtoa mada uwe makini maana umechanganya mambo juu ya magari na lowasa

Ccm ni janga
 
Back
Top Bottom