Mimi nilidhani baada ya uchaguzi na kufanya waliyoyafanya sasa hofu ya CCM kwa Lowasa itakua imeisha kumbe nilikosea bado lLowasa ni threat kubwa sana kwa CCM.
Kwanza nataka Leo walau kwa kidogo tuziangalie propaganda za CCM ya kina makamba mkubwa na kina makamba mdogo,
Propaganda y CCM kwa bara ni kuwadanganya watu kwamba mkichagua upinzani nchi inaingia kwenye vita yaani huu ni mkatati kabisa wa kumlaghai mtanzania huku akiendelea kunyonywa hadi hapo atakapoanza kuvuja damu,
Propaganda ya pili ni kwa watu wa zanzbar wanaoaminishwa kwamba, mkichagua upinzani wanawaletea waarabu wawatale..swali hapa! Hivi kwa muda ambao CCM imetawala kuna tofauti gani na utumwa? Utumwa mkubwa waliotusababishia ni utumwa wa fikra..
Nimejaribu kufwatilia post nyingi sana humu ndani na kama na wewe ni mfwatiliaji utakubaliana na mimi kwamba kila post inayotumwa humu lazima timu ya propaganda ya CCM imchomekee Lowasa! Sasa nawauliza hawa watu wa CCM wanafiki na waoga kama Lowasa ni fisadi kwanini hamumpeleki mahakamani?
Vinginevyo mi nawapa jibu: mnamuogopa Lowasa hasa nyie Manyangumi ambao mbajua Magufuli hawawezi mnalilialia humu mkitengeneza propaganda dhaifu ili mradi isije ikatokea siku Lowasa akashika rungu!
Sasa naelewa kwanini kikwete alisema atalala fofofofo Magufuli akiwa raisi alijua saizi yake ni vichunusi Majipu ni ya madactari.
Hebu na wewe shughulisha ubongo, bomoabomoa inayoendea itahusisha majengo yaliyojengwa hovyo upanga na kariakoo kwa mfano kama yale ya Lumumba, mahoteli kama lile la Kebyy pale bamaga? au bomoabomoa ni ubabe kwa wasio na sauti a.k.a dagaa? Hapo nimeuliza tu
Mwisho kabisa CCM semeni kwanini mnamuogopa sana Mzee Lowasa? Jenga hoja acha kelele tumezichoka.