Magari ya washa washa yalitengewa bajeti na ktk kikao cha bajeti 2015/16 ilijadiliwa na wabunge wa upinzani waliyapgia kelele na kipindi hicho lowasa yupo ccm kwahiyo mtoa mada uwe makini maana umechanganya mambo juu ya magari na lowasa
Tume ya ccm
Kama alishinda mbona hajaapishwa ???
Tume ya ccm
Kwani mlitegemea tume ipi ingemtangaza ELW kama mshindi endapo angeshinda? Au kwanini mlishindana na ccm ikiwa mlijua tume ni ya kwao?
Tatzo walivohama walisahau kua ile tume walioipigia debe mwanzo ndo imebaki ile ile.
.sheria ni msumeno.
kama Lowassa angebaki Ccm bas tume ingewakata chadema ,na alivohamia cdm imemkata huko huko..
malipo hapa hapa
Kama alishinda mbona hajaapishwa ???
Lowasa alishinda urais kwa kura nyingi sana..zaidi ya milioni kumi..Magufuli aliambulia kura milioni tatu
sIYO kWELI KUWA LOWASA ANA NGUVU HAPA!!!!Wote tumeshuhudia CCM ikiweweseka baaada ya Mh Lowasa kutangazwa kuwa mgombea wa uraisi kupitia chadema na UKAWA, wakiingiza magari y washawasha na ya doria zaidi ya 300!
Swali ni kwamba kama huyu mtu ni fisadi kwanini wenye haki wanamuogopa sana?
Hebu CCM tuambieni ni kitu gani mnachoogopa kwa huyu mzee ambacho hamtaki watanzania tukijue? Wakuhemka hemkeni tu ruksa
Mimi mwenyewe nilizihesabu kura za Lowasa zilifika milioni kumi
sIYO kWELI KUWA LOWASA ANA NGUVU HAPA!!!!
WENGI WA WATU TUNAJUA LOWASA ANA UMWA KAMA SISI TUNAVYO UMWA
SASA UKWELI NI KWAMBA KUISHI KWA LOWASA KUPO MIKONONI MWA MUNGU NA NGUVU ILIYOPO NYUMA YA LOWASA NI NGUVU YA MUNGU NA SI MWANADAMU
HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUZUIA NGUVU HIYO
WATU WENGI WANA AMINI WAGANGA NA WACHAWI SASA TAFUTENI UCHAWI HAMTA WEZA MUNGU ANATISHA
HATA LOWASA AKIONDOKA NGUVU HII HAITA ONDOKA NA WATU WENGINE WATATOKEA
TUTEGEMEE WATU WENGI MAARUFU KUTOKA CCM NA KUTISA TAIFA KWA KUWA ANAYE WATUA BADO YUPO HAI
HATA KAMA WATU WATAUAWA LAKINI MUNGU YUPO HAI MILELE