Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,530
Jamaa yupo vizuri sana.
Makongoro muache awe Rais anajua uongozi,anajiamini,na anautambua utu...tunahitaji watu kama hawa aisee
Huyu jamaa ana communication skills sana na ametulia vinginevyo tungesikia padorn, sorry mara excuse me n.k ...like father ..like son
He is fluent........hakitafuti kama mwenzangu na miye da gama
kiingereza chake kizuri ndiyo suluhisho la huo umasikini wako ulionao hadi ktk kope zako hizo za macho na ugokoni mwako? watanzania tupoje?
So the experience of this guy is:
- Primary school education
- Secondary school
- 10 years of military service
- Bachelor degree
- Master degree
CC: Nyani Ngabu, Alinda
Huyu jamaa ana communication skills sana na ametulia vinginevyo tungesikia padorn, sorry mara excuse me n.k ...like father ..like son
kiingereza chake kizuri ndiyo suluhisho la huo umasikini wako ulionao hadi ktk kope zako hizo za macho na ugokoni mwako? watanzania tupoje?
Uraisi hauitaji uzoefu sana zaidi ya comittment ya mtu, iangalie Rwanda leo ilipo alafu utwambie Kagame wakati anaingia alikuwa na uzoefu katika kitu gani ambacho ni tofauti sana Mako. Alafu utwambie wakati baba Wa taifa anakuwa raisi alikuwa na uzofu mkubwa kiasi gani tofauti na mwanaye, unataka awe na exp ya uraisi wakati hajawai kuwa raisi?
kumfananisha kagame na huyo au hawa watangaza nia wenu hakika ni kuwatusi watu wa jamhuri ya nchi ya rwanda. watake radhi mkuu.
Ahhhh! sina maana hiyo bwana natolea mifano tu, nachelea usije ukanambia pia niwatake radhi watanzania wenzangu kwa kumtaja baba wa taifa katika huo mfano wa pili, ila umepata point yangu vizuri.
walisema hajui kiingresa, kumbe mitu hii ni hatali namna huu wololooo!we najua ni musungu nyeusi...hellow obama obilo goi...mumesitiwa ndogo na mutu ya bukoba yenyewe kisungu yao ni olo time.
Umesema jambo la msingi sana ambalo walio wengi hawalioni.uwezo wa lugha ya president umfanya kuwa PROUD na mazungumzo na kuwa anauwezo wa kunegotiate na dialogue yoyote ya kigeni toka kwenye lugha hiyo.Nikupitia lugha hiyo MKAPA alikuwa anauwezo wa kuinfluence baadhi ya mambao japo anamapungufu yake.Ila kwa ujumla lugha inampa mtu CONFIDENCE kumudu majadiliano toka kwenye angle yoyote kwa kuwa ANAIMUDU lugha ya majadiliano.Asante sana mkuu, lugha ni nyenzo ya mawasiliano na ikitumiwa kwa usahihi basi ni kichocheo kikubwa katika kubargain na kuliletea maendeleo
Nshomile maana yake ni Msomi, siyo Mhaya.Tumekusikia kumbe mtu akiongea kiingereza ni mhaya?