Kumbe Makongoro Nyerere ni Nshomile kabisa tena bye hatari kabisa

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,667
Tumekusikia kumbe mtu akiongea kiingereza ni mhaya?
Wewe naye yani ujui Nshomile kwa Watanzania ni nani actually ujui unaongea nini au umekunywa fyanta wewe ni kuluka mupwe fyanta huyu siyo wa heinken huyu bwana.
 

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,667
hajatusikia wajaluo tukipiga kingereza.
we najua ni musungu nyeusi...hellow obama obilo goi...mumesitiwa ndogo na mutu ya bukoba yenyewe kisungu yao ni olo time.
 

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,305
6,503
He is fluent........hakitafuti kama mwenzangu na miye da gama
 
  • Thanks
Reactions: DSN

nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
4,422
4,716
Duuuh mtamuua mamvi kwa presha sasa!

Maana akiambiwa ateme yai hata sentensi mbili anaweza kujikata ulimi kwa meno!

lwaigwanan ni mtupuuuu!
 
  • Thanks
Reactions: DSN

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,667
Jamaa yupo vizuri. Anaweza kuchekesha watu kwa kizungu.
Huyu bwana ni nshomile ne embwa yange ikashoma...hapo ni yes na infwact tu!!!Kama ukichekesha wazungu ukawaambia ''Goodmorning magelo gano?''watatafuta kwenye dictionary za dunia nzima wasione...
 

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
10,150
9,657
Ana kipaji kama cha baba yake, halafu si cha kukariri, maneno yanakuja tu kama lugha yake!! hata mdogo wake Madaraka naye yuko vizuri, anatema ngeli balaa, nilimsikiliza ktk mkutano mmoja hivi Europe akiwa anapromote legacy ya baba yake

Kuna mtia nia mmoja hivi hata kusoma tu ni shida, sipati picha hiyo aibu eti ndo atuwakilishe huko nje
 

Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
5,065
2,438
So the experience of this guy is:  • Primary school education
  • Secondary school
  • 10 years of military service
  • Bachelor degree
  • Master degree


CC: Nyani Ngabu, Alinda
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom