Kumbe leo Ijumaa

Bongo kila kitu ni shida huwezi hata kuweka stop ni kuwahi tu foleni raha ni mikoani tu.
 
Bongo kila kitu ni shida huwezi hata kuweka stop ni kuwahi tu foleni raha ni mikoani tu.

Yeah_vizuri mmelijua hilo,...mimi nimehamia kisiju...maake A..town nayo imeanza joto na jam kama dar.
 
Yeah_vizuri mmelijua hilo,...mimi nimehamia kisiju...maake A..town nayo imeanza joto na jam kama dar.

Ilikuwa joto...ila kwa sasa hali imerejea km kawaida....tulivu...cool ila jam balaa
 
poleni sana kwa foleni mlioko dar, mimi nipo moshi nilikuwa mambuo bar, am on ma way to makumba, then kul bar halafu namalizia ucku la liga club
Mi nilikuwa dar jana ila niko zangu arachuga nakula raha...usisahau kupita Malindi....
 
mimi nipo zangu tunduma boda ya wajanja nipo jirani bar nakula taska baridiiiií
 
Tuanzie samaki samaki then jolly halafu mwisho tunamalizia savanah lodge .......
MP.
 
nipo brajec leo...ctaki makelele leo aise...brajec ya mlalakua
 
Tuanzie samaki samaki then jolly halafu mwisho tunamalizia savanah lodge .......
MP.

nimeisoma iyo ratiba...
samaki tunashtua kichwa...jolly tunafuata yale mambo yetu...
then tunaenda kuserebuka...after party????kitandani...aaah obviously mnataka kubisha sasa...?
 
nimeisoma iyo ratiba...
samaki tunashtua kichwa...jolly tunafuata yale mambo yetu...
then tunaenda kuserebuka...after party????kitandani...aaah obviously mnataka kubisha sasa...?

Wewe...leo ni jumamosi....acha tabia mbaya
 
Back
Top Bottom