Wewe...leo ni jumamosi....acha tabia mbaya
nimeisoma iyo ratiba...
samaki tunashtua kichwa...jolly tunafuata yale mambo yetu...
then tunaenda kuserebuka...after party????kitandani...aaah obviously mnataka kubisha sasa...?
Yan full mzux na hali ya hewa leo ni bomba balaaa km tuko London mtu wangu