Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,933
- 218,736
Usaliti ni laana mbaya sana na itakutafuna hadi kaburini , wewe Mpendazoe ndio wa kuhoji uamuzi wa Nyalandu ? Alivyoenda kumuona Lissu Nairobi mbona hukuandika porojo kama hizi ?
Hii ni siasa ya kiwango cha juu sana mkuu ukileta fyokofyoko TUTAKUANIKA VIBAYA SANA ! Tenda haki uheshimiwe usilete uzushi , kisa UDC unaoutafuta kwa udi na uvumba , siasa za kishamba waachie akina Jerry Murro .