Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

mpenda-zoe
mpenda-pesa
mpenda-kula
mpenda-uongo
mpenda-dezo
mpenda-----
majina yote hayo yana herufi ndogo, yanakufaa sana, hujui ukitakacho,huna life goals;ndo maana unaongea utumbo. siku zote ulikuwa wapi? kipindi ndege zinatua, zinapakiwa twiga na kima hukuwepo? why now? mzee unazeeka vibaya sana. kama una wajukuu kawalee labda watakukumbuka ukishakufa, kwa Tanzania umeshachelewa hutakubumbukwa kwa lolote zaidi ya unafiki na kigeugeu.
Acha unafiki bado kijana hakuna ambae haelewi Kashfa za Nyarandu na zikishasemwa sana tena vinara mlikuwa nyie chadema Leo hii ndo mnasema siku zote alikuwa wapi...mbona huyo nyandu tozi kipindi yupo waziri hakuwahi kusema masuala ya katiba???
 
Hilo tusi ni rasmi kwa Mpendazoe,usinipangie cha kuongea! Na sijali kama huheshimu ama unaheshimu nilichosema!

Demokrasia ni pamoja na kuvumiliana........

Siwezi kukupangia cha kuongea ndugu yangu kwani sina mamlaka hayo.....nimejaribu tu kufanya ambalo nilidhani lina manufaa kwako.....

Samahani kwa kukwazika uwe na wakati mwema...!!
 
nyandu tozi aka waziri mwizi kaamaua kwenda kutafuta wanafiki wa kukusafisha hakika umefanikiwa huko uliko utasafishwa sana
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Wee mzee swali langu moja tuuh, KICHAA AKIKUIBIA NGUO UKIWA BAFUNI UNAOGA UTAPAMBANA KUFUKUZA MTAANI UKIWA UCHI..???? ssm ni mpuuzi tu na mjinga atawaona mna legimacy kuwatuhumu wezi..!
 
Ila kumbe hata baadhi ya kwenye dola wanatamani wapewe nafas ya kuongea,huyu mh.Mpendazoe nayeye kumbe yupo........hongera kwa mawazo yako ,ila hizo tuhuma ungezitoa Jana.....zingekuwa nzuri na zenye ukweli,na sio za kinafiki
 
Nimesoma maandishi yako. Nimegundua unamtuhumu nyalandu amehama chama sababu ya vita ya maliasili.

NIKUSHAURI TU KAMA UNA USHAHIDI NYALANDU ANAHUSIKA NA UFISADI WOWOTE MPELEKE MAHAKAMANI.
VINGINEVYO UTAKUWA MUONGO NA MNAFIKI MKUBWA.
 
Maswali ya kijinga kabisa, signatory wa Wizara ni Katibu Mkuu ambaye ndiye Accounting Officer, Waziri anasaini saa ngapi? pia TANAPA kuna mkurugenzi.
mh unafiki mwingine bana Leo mmeamua kumsingizia katibu mkuu!!!
 
Demokrasia ni pamoja na kuvumiliana........

Siwezi kukupangia cha kuongea ndugu yangu kwani sina mamlaka hayo.....nimejaribu tu kufanya ambalo nilidhani lina manufaa kwako.....

Samahani kwa kukwazika uwe na wakati mwema...!!
Huyu mwenyekiti wenu anayehubiri demokrasia wakati akiwa mkiukaji mkubwa wa demokrasia mbona naye msimpe semina ya uvumilivu kwa wanaomchallenge? ama demokrasia ni kunyamazishwa kwa upande mmoja ilihali mwingine ukibwabwaja?
 
Nimesoma maandishi yako. Nimegundua unamtuhumu nyalandu amehama chama sababu ya vita ya maliasili.

NIKUSHAURI TU KAMA UNA USHAHIDI NYALANDU ANAHUSIKA NA UFISADI WOWOTE MPELEKE MAHAKAMANI.
VINGINEVYO UTAKUWA MUONGO NA MNAFIKI MKUBWA.
mjingawewe kama unavyojiita...kipindi si kile mlivyokuwa mnatuhumu mlikuwa na ushahidi ??acheni unafiki
 
Huyu mwenyekiti wenu anayehubiri demokrasia wakati akiwa mkiukwaji mkubwa wa demokrasia mbona naye msimpe semina ya uvumilivu kwa wanaomchallenge? ama demokrasia ni kunyamazishwa kwa upande mmoja ilihali mwingine ukibwabwaja?

Si kila anayekurekebisha ni mwanachama wa chama fulani.....
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Machadema hayana haya, we ona walivyomsafisha Lowasa! Na Nyalandu kagundua kuwa ukihamia chadema unasafishwa na kudanganywa eti unazaliwa upya! Kumbe ni fisadi tu!
 
Mzee huna wajukuu sio vizuri kushinda mitandaoni kalee wajukuu maana we umekatwa mkia
 
Kaiiiiba weee, saiz anaenda CHADEMA wamsafishe! Walewale waliokuwa wakimuita mwizi wakati yuko CCM saiz wanamuita jembe kwasababu kahamia kwenye chama chao!! Acheni unafiki!!
 
mjingawewe kama unavyojiita...kipindi si kile mlivyokuwa mnatuhumu mlikuwa na ushahidi ??acheni unafiki
Mpelekeni mahakamani. MBONA ALIPOKUWA CCM HAMKUMUONA FISADI LEO KAHAMA CHAMA NDO AMEKUWA FISADI.
ACHA UNAFIKI WAKO.
 
Mshaanza propaganda
Nani sasa! Aliyelalamikia twiga kupandishwa ndege alikwa nani? Kumbuka jinsi Sugu alivyolia bungeni kuhusu twiga kupanda ndege! Leo hii kaja huko na alishajua anavuliwa uanachama, leo mnasema tunampiga propaganda!! Ama kweli machadema hamna aibu kabisa! Na ni chama cha wapiga dili!
 
Si kila anayekurekebisha ni mwanachama wa chama fulani.....
Usiogope...binadamu tuna tabia ya kusononeka misiba ikiisha tupata kwenye milango yetu ila tuna kale kanafsi ka kutojali baya lipitapo kwenye mlango wa wengine...ukiona mtu anakupigia makofi ilihali unaanguka shimoni jitafakari huyo hakupongezi bali anataka uangamie! 2020 inaweza kubadili historia ya siasa za Tanzania!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom