wanawake chuma ulete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Kuna namna fulani hivi wadada wamezidi kuwa wabinafsi siku hizi huku wakitegemea mtazamo ule ule wa kubebishwa na wanaume

    Unataka psychological torture? Ndio utaipata siku hizi hata bila ya kutekwa, naaam wadada wa kileo. Sio wote, ila wengi wao. Vile maisha yalivyozidi kuwa fast na yenye kuchanganya mwanaume alifikiri pumziko lake litakuwa kutoka kwa bebi, yani afarjiwe kwa usawa kama yeye anavyojitoa ingawa...
  2. kwisha

    JamiiForums Kumbe kweli wanawake chuma ulete wapo

    Kuna demu nilikuwa na mfukuzia mda kidogo alikuwa ananizungusha saana. Lakini kwa bahati nzuri jana ile alinikubalia. Lakini kila nikifunga macho naona kabisa huyu ni chuma ulete Mtu kanikubali jana tu. Lakini tayari amesha nilalamikia shida zake mara 3 Asubuhi kaniambia hana salio kwenye simu...
Back
Top Bottom