gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 962
wana jf mimi sikuwa member wa jf lakini nilikuwa nashinda kila siku humu kusoma hoja za watu mbalimbali na michango ya watu ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.nimegundua kwamba level of thinking ya member wa jf ni kubwa sana,kweli jf ni great thinker,nimejifunza mambo mengi sana kupitia hapa mpaka nikaamua nijiunge tu niwe member.so nikaribisheni jfwajameni!!!1View attachment 19406
Wana JF mimi sikuwa member wa JF lakini nilikuwa nashinda kila siku humu kusoma hoja za watu mbalimbali na michango ya watu ya kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Nimegundua kwamba level of thinking ya member wa JF ni kubwa sana, kweli JF ni great thinker,Nimejifunza mambo mengi sana kupitia hapa mpaka nikaamua nijiunge tu niwe member.
So nikaribisheni JF wajameni!
we umefufukia wapi au ulikuwa umetekwa nyara leo ndo unagundua uzuri wa jf?basi we tutakutupa kwenye kundi la wasioijua jf miaka yote hiyo ................loh
umetaarifu mumeo mwarabu kama mmepata mgeni?karibu sana
we kwel ni babu_wa2 wanakalia kumkaribisha m2 kumbe ni mwenyeji, ngoja waende kuoga halafu wafanyiwe mambo ya kuibiwa taulo washindwe kutoka bafunMkuu vipi????????????!!!! Ebu cheki joining date yako!! Au ndio uchakachuaji!!!!! Ina maana toka muda muda huo wee bado ni mgeni!!!
Jisikie huru.
Nikuletee kinywaji gani?