Eeeh Mungu wangu..! Miaka yote hiyo bila kuoga?
Kulala na mwanaume wa namna hiyo kitanda kimoja na kushiriki nae tendo la ndoa yataka moyo..!
Bw. Singh alipohojiwa alisema hivi...
"My wife doesn't like it either but she must bear all the hardships I have to bear. Besides, I take a fire bath in the evenings and that gets rid of all the sweat."
Na mkewe alisema hivi...
"I abused him and started crying when he told me about his senseless decision," she said. "I even threatened to stop sleeping with him but he is my husband so there was little I could do about it."
pamoja na kujiweka hovyo miaka yote
kidume hakijapatikana,imani potofu khaaaa
ningeita watu wamkamate nimuogeshe haki yanani!!
​aiseee,full karaha lolmpaka hapo wanamuogopa wanaamini kaambiwa na shiva afanye hivo chezea wa manga wewe..