Kumbe kuna urembo wa wanawake kujiumua lips!

Kumbe kuna urembo wa wanawake kujiumua lips!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,680
Reaction score
91,587
Huu urembo wa wanawake kujiumua lips ni kwa wazungu tu au Waafrika pia?
20250726_222251.jpg
 
Wanawake wa kizungu wana midomo myembamba, wanawake wa kiafrika wana midomo minene fuatilia, nadhani wazungu wanapendezwa na midomo minene ya wanawake wa kiafrika, mwanamke wa kiafrika kuvimbisha hivyo midomo ni ujinga...
 
wanaudhi sana hawa viumbe.
Taco fake
lips fake.
1. Wapenda deep kiss kama mimi nilikuwa napenda lips nzito sasa naona kinyaa
2. Taco; kwasasa wenye hips na tsco kubwa nao thamani inapungua kwa huu ujinga wa taco fake.

Nimehamia kwa vimbau mbau rasmi
 
Wanawake wa kizungu wana midomo myembamba, wanawake wa kiafrika wana midomo minene fuatilia, nadhani wazungu wanapendezwa na midomo minene ya wanawake wa kiafrika, mwanamke wa kiafrika kuvimbisha hivyo midomo ni ujinga...
Hata wenye shape nzuri na madrako ni wanawake wa kiafrika lakini wanahangaika kuyafumua
 
Ni ujinga sana..,.tunajisahau kuwa hata vichaa wanapewa mimba na wanaume timamu.... wanaume wapo wengi tu tena hata hawahitaji complications zote hizo....kikubwa uwe na tobo basii🙄
Wanapenda attention za wanaume na labda wamefanya ndo kivutio cha wateja si unajua mfanyabiashara anajua wateja wake wanahitaji bidhaa ya aina gani
 
Back
Top Bottom