Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,597
- Thread starter
- #21
Nimekuelewa buroooSigara hata inukie nini bado utakua taahira kuivuta! " Onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako "
Nimekuelewa buroooSigara hata inukie nini bado utakua taahira kuivuta! " Onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako "
Mimi huwa nachukia pombe na sigara sasa leo nimehisi halufu ya sigara mzuri achana na hizi wanazo vuta vijiwe vya kahawa je hizi hazi madhara?
Nimevuta sigara kwa muda mrefu, kuna sigara moja tu ndio nilio ipenda ORIS chocolate favor na sportman sio hii portsman hii ndio ingeniua ila Maulana kaniepusha na hilo jinamizi kwa sasa sijui namuonaje mtu anaevuta sigara kwanza hata harufu yake tu mtihani!Mimi huwa nachukia pombe na sigara sasa leo nimehisi halufu ya sigara mzuri achana na hizi wanazo vuta vijiwe vya kahawa je hizi hazi madhara?
Ni kama fanta passion tu hakuna passion zinaenda kiwandani zaidi ya flevas
Nimevuta sigara kwa muda mrefu, kuna sigara moja tu ndio nilio ipenda ORIS chocolate favor na sportman sio hii portsman hii ndio ingeniua ila Maulana kaniepusha na hilo jinamizi kwa sasa sijui namuonaje mtu anaevuta sigara kwanza hata harufu yake tu mtihani!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mzee wa ganja basi,nitakemea[emoji23][emoji23][emoji23] situmi vyote am fresh boy
Ganja mbaya mzee sio poa kwetu kuna kanser so nilisha pew onyo usije vuta sigara sonajitaid sana k sijawai vuta mpaka umri uhu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mzee wa ganja basi,nitakemea
Nikajua kidogo zina unafuu
Inakuondoa fastsSumu haionjwi ndugu yangu...