KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Dogi na kibamia chake.
Naona Ex minister sura na tabasamu havina ushirikaiano. Mdhaliliko.
What a shame...!
Huyo binti sijui anamfanya nini mikono yake siioniHuyo umbwa mbona KASIMAMISHA?
Halafu imenasiaMbwa kadinda ha ha ha
Ha ha kuna kitu wanamfanya dog akagomeshaHalafu imenasia
Teh Teh Teh kila picha yuko...Kati ya wabunge wanaopenda kupiga picha huyu jamaa nadhani anaongoza
Hapo wala si ughaibuni, ni bandarini dar, ukicheki picha vizuriMbwa......mbwa ughaibuni ......unapiga picha na mbwa ughaibuni?........?
Labda huyo mbwa katolewa msaada kwa shughuli maalum kama ulinzi na upekuzi.
Kinyume cha hapo nikutojitambuwa.