Kumbe kuna mengi nyuma ya safari za nje

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
dog_program_600px.jpg
 
Heheheee inamaana hapo kasafiri kupiga picha na dogi au ndo deal ya kuuza dogi ishatiki? Au sijaielewa picha.......
 
Heheheee inamaana hapo kasafiri kupiga picha na dogs au ndo anauma deal ya kuoza dogi ishatiki? Au sijaielewa picha.......
Dogi kaonyesha ile kitu roho yako inapenda (kama ingalikuwa si dogi bali mwanadamu). Je kulikuwa na kitu kipi?
 
Sijaelewa bado....... kichwa yangu ngumu kama ya katarina :D:D:D
Swali langu kwako ni je, huyo mbwa anahisia kama mwanadamu? Maana ukiangalia nyuma yake kuna mdada mrembo kama wewe amemshikilia na huyo mbwa dushe lake limesimama akawa na hamu. Je, tueleweje? Ina maana huyo mbwa anafaidi binadamu?. Nadhani umenipata
 
Swali langu kwako ni je, huyo mbwa anahisia kama mwanadamu? Maana ukiangalia nyuma yake kuna mdada mrembo kama wewe amemsikilia na huyo mbwa dushe lake limesimama akawa na hamu. Je, tueleweje? Ina maana huyo mbwa anafaidi binadamu?. Nadhani umenipata

Aiseee sasa si matusi haya?
 
Mbwa......mbwa ughaibuni ......unapiga picha na mbwa ughaibuni?........?

Labda huyo mbwa katolewa msaada kwa shughuli maalum kama ulinzi na upekuzi.


Kinyume cha hapo nikutojitambuwa.
 
Hivi kweli utoke hapa utumie hela yetu ya kodi ukapige picha na mbwa, dharau nyingine mbayaa.
 
Back
Top Bottom